Mimi ninavyojua wanawake wa kizanzibari kwa kuzulula hawajambo.Halafu anahangaika sana na nchi ambazo hazina tija kwa Taifa. Ataanza ziara za kuwatembelea wahisani wetu lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninavyojua wanawake wa kizanzibari kwa kuzulula hawajambo.Halafu anahangaika sana na nchi ambazo hazina tija kwa Taifa. Ataanza ziara za kuwatembelea wahisani wetu lini?
Safi Sana madam President,Rais wa DRC alikujaga hapa na alimualika JiweWakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo.
Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya Hakainde Hichilema.
Akifika Congo atapokekewa na Mwenyeji Wake Rais Felix Tshisekedi.
Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi
Acha upopoma anaweka sawa mahusiano na mambo ya uchumi ambavyo viliharibiwa na JiweKama mshauri wake ni vasco da gama unategemea nini?
Halafu nchi anazosafiri kwenda zina mchango mdogo kwenye uchumi wetu.
Asafiri kutafta wawekezaji wa maana huko Ulaya walete mitaji kutusaidia ku exploit hizi natural resources tulizonazo.
Sio muda utasikia ana ziara Somalia.
Yaani hapa tumeingia cha kike kweli.
Alaa unavyojua wewe, endelea kujua hivyo hivyoMimi ninavyojua wanawake wa kizanzibari kwa kuzulula hawajambo.
Ya Kenya na Uganda na Rwanda zimekuwa na tija.Hii ya Zambia na Malawi zilikuwa za kujitambulisha tuu.Hii ziara inaweza kuwa ya kimkakati na ya muhimu pengine kuliko ziara zote zilizofanyika toka mama aingie ikulu. Ni jambo la wazi kuwa katika nchi zote za maziwa makuu, DRC imejaaliwa kuwa na idadi kubwa ya watu takriban watu 120,000,000.
Itakumbukwa kuwa Tanzania tumejaaliwa kuwa na bandari, ambapo miongoni mwa nchi zinazotumia bandari yetu ni DRC.
Tanzania imekuwa ujenzi mkubwa wa reli ya mwendokasi ambayo inategemewa kuwa msaada mkubwa wa usafirishaji wa watu na mizigo kuelekea nchi za Rwanda, Burundi na DRC. Kimkakati, kama ujenzi huo utakamilika, Tanzania itakuwa imalamba dume kwa sababu tutaweza kujiinua kiuchumi kupitia sekta ya usafirishaji pamoja na kufaidika na masoko ya bidhaa zetu kupitia wato miliuoni miamoja waliopo mashariki mwa Kongo.
Mnyonge mnyongeni lakini haki haki yake apewe. Ziara ya Rais wetu huko DRC haipaswi kubezwa kwa sababu kiuchumi inalipa tofauti na nchi kama Rwanda, Burundi na Uganda ambazo zinapitisha mizigo yao katika bandari yetu ya Dar Es Salaam lakini, mizigo yao kidogo kuliko ile DRC kutokana na idadi ya watu katika nchi hizo ni ndogo.
Hongera Mh. Raisi wetu kwa kupanga ziara ya kimkakati ya DRC ambayo ni muhimu sana kwa musakabali wa uchumi wa nchi yetu.
Wewe huwa unasoma kitu gani kabla ya ku sign tuanzie hapa kwanza.Nchi ime mshinda akirudi ni kusign tu ma pepar bila ata kusoma awahi safari nyingine
Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulishatoa majibu ya haya maswali. Vinginevyo ni kusukuma muda na kusubiri majibu ya maswali hayo 2025.Labda ngoja nikuulize hivi:Je,Tanzania kuna chama chochote cha siasa ambacho kinakubalika sana kwa watu na kina ushawishi?
Na wewe kama umepukutika akili ni shauri yako na waliokuzaa..ni ajabu kuhoji na kuuliza maswali ya kipumbavu kama hayo.Unapodai kuwa Kenya,Rwanda na Burundi zina tija kwa uchumi wa Tanzania umetumia data na statistics gani?Umetumia credible source gani katika information zako?Umetumia tafiti gani za uchumi?Haya mambo ya uchumi siyo mambo ya kupiga porojo kama alivyokuwa anafanya magufuli bali ni masuala ya data kutoka kwenye credible sources pamoja na tafiti.
Unapodai kwa mfano kuwa Congo au Rwanda ina tija katika uchumi wetu umelinganisha nchi hizi na nchi gani?Rwanda inaweza kuwa na tija katika uchumi wetu kumbe tija yake ni ndogo mara kumi ukilinganisha na nchi nyingine kutoka Ulaya na marekani kwa mfano.Haya mambo ya tija katika uchumi yanahitaji ufanye kwanza comparative analysis ya masuala mazima ya uchumi.Umefanya comparative analysis gani katika nchi mbalimbali hadi ugundue kuwa Congo inapaswa kupewa kipaumbele katika ziara za Rais kwa sababu ina tija kwetu kuliko nchi nyingine kutoka mfano ulaya na Marekani?
Wewe unaongea tu porojo kuwa Rwanda,Burundi sijui Congo zina tija kwetu bila kuwa na credible sources za data,statistics,informations na kadhalika.Mbaya zaidi hujafanya comparative analysis yoyote ile katika nchi mbalimbali ili kujua ni nchi zipi kwa uhakika zina tija kwetu kabla ya kufikia conclusion yako.Haya mambo huwa hayafanywi kama unavyotaka kufanya hapa.Haya mambo ni sayansi.
Huyu Mama wa Kambo anaependa kuzurura kama yale mapaka yasiyofugwa yeye anaenda tu Congo huko na kadhalika ila mradi aonekane kuwa Rais yupo ziarani.She is inept.
ngoja tumuandalie ziaraNitafurahi Sana Rais wangu mpendwa akienda Afghanistan kuwapongeza Taliban kwa kutwaa umiliki wa ardhi yao
Achana na mgonjwa yule ,alitunga excuse ya kupunguza gharama kumbe mgonjwa,akajisahau akawa anasafiri kwa msafara wa Magali mengi Sana mkoa hadi mkoa.Ukikaa nchale, ukisimama nchale, ukiruka nchale, ukikimbia nchale, ukifanya chochote nchale..
JPM alikuwa hasafiri kabisa tukaimba hapa wee Rais hasafiri, aende akajifunze akapate exposure, yeye humuhumu na misafara gharama kubwa na kelele kibao tukampigia..
Sasa, ameingia mama amesikia kilio chenu anasafiri...tumeanza kelele tena.
Kwa uelewa wangu hakuna taifa linaloongoza kuwa kipaumbele chenye tija kwa Tanzania. Zipo nchi nyingi tunazoshirikiana nazo kila moja ikiwa na mchango wake wenye tija kwa maendeleo ya Tanzania zikiwepo Kenya, Burundi,Zambia,DRC,Uganda, Rwanda etc.Nimeshaanza kuzitaja katika comment yako ya nyuma na tutazijadili sana hapa.
Kwa hiyo unataka kusema kuwa Kenya ndiye kipaumbele chenye tija kwa Tanzania kuliko mataifa yote duniani?🤡🤡🤡
Hizi hasira inaonekana huna hela.Na wewe kama umepukutika akili ni shauri yako na waliokuzaa..ni ajabu kuhoji na kuuliza maswali ya kipumbavu kama hayo.
Nakupa mfano mdogo Sana wa Burundi,kuna kampuni kubwa ya Burundi inajenga kiwanda cha mbolea Dodoma na ni baada ya mazungumzo na Mama mwanzoni kabisa baada ya kumfukia Magu.
Huo ni mfano mdogo tuu ila kwa kuwa wewe ni CDM umeshikiliwa akili na Mbowe endelea kuwa mjinga na kulia Lia mitandaoni.
Naomba uniambie moja baada ya nyingine na vipaumbele vyao vyenye tija kwa Tz katika hiyo list ya nchi ulizozitaja.Nimeshaanza kuzitaja katika comment yako ya nyuma na tutazijadili sana hapa.
Umeanza kujikanyaga sasa, kumbe ni muumini wa mikopo inayokuza deni la taifa kila kukicha eenh? Ndiyo maana tunapishana. Kwahiyo kipaumbele chenye tija ni ushawishi wa kupata mikopo zaidi na kukuza deni la taifa eenh? Hapo ndiyo nilishasema tangu mwanzo mimi naona ule utaratibu wa kwenda kuwalamba miguu wazungu na kopo la kuomba misaada na mikopo mkononi zilishapitwa na wakati. Kwanini tusikuze regional integration tupate pesa kuliko kukimbilia mikopo?World bank juzi wametoa mkopo wa gharama nafuu kwa Tanzania kwa ajili ya elimu,tehama ambao ni TSH 2.7 trillion.Hii hela ni nyingi sana.Tanzania inachangia nini world bank hadi ipewe hela hizi?Tanzania haichangii chochote huko kwa sababu ni masikini.
Nchi kama Marekani inachangia zaidi ya asilimia arobaini katika bank hii na inakuwa na mamlaka ya kusema kuwa ni nani apewe nini na ni nani asipewe.Sasa kama nchi inapokea mkopo wa 2.7 trillion kutoka kwa wakubwa hawa,hawa siyo kipaumbele cha Taifa?Ni nani mwingine anaweza kukupa kiasi kikubwa cha fedha namna hii?
Kumbuka pia kuwa mkopo kama huu siyo tu kwamba ni wa gharama nafuu lakini pia muda mwingine husamehewa kabisa.
😂 😂 😂Nitafurahi Sana Rais wangu mpendwa akienda Afghanistan kuwapongeza Taliban kwa kutwaa umiliki wa ardhi yao
Mimi nilikuwa namhoji mleta comment ili nijue majibu anayotoa yapo official kiasi gani au ni porojo tu.