Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya haina tija kwa uchumi wetu?Anazurura kama yale mapaka yasiyofugwa.Halafu anahangaika sana na nchi ambazo hazina tija kwa Taifa.Ataanza ziara za kuwatembelea wahisani wetu lini?
Wanafiki......ukikaa nchale, ukisimama nchale, ukiruka nchale, ukikimbia nchale, ukifanya chochote nchale..
JPM alikuwa hasafiri kabisa tukaimba hapa wee Rais hasafiri, aende akajifunze akapate exposure, yeye humuhumu na misafara gharama kubwa na kelele kibao tukampigia..
Sasa, ameingia mama amesikia kilio chenu anasafiri...tumeanza kelele tena....
Tozo zinamwezesha.Wakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa Zilizopo Ni Kwamba Rais Samia Ana Ziara Ya Kikazi Nchini Congo.
Ataanza Ziara Hyo Wakati atakapotoka Zambia Kwenye Inauguration ya HH.
Akifika Congo atapokekewa na Mwenyeji Wake Rais Felix Tshisekedi.
Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi
Kwahiyo...!!Wakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa Zilizopo Ni Kwamba Rais Samia Ana Ziara Ya Kikazi Nchini Congo.
Ataanza Ziara Hyo Wakati atakapotoka Zambia Kwenye Inauguration ya HH.
Akifika Congo atapokekewa na Mwenyeji Wake Rais Felix Tshisekedi.
Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi
Kama mshauri wake ni vasco da gama unategemea nini?
Halafu nchi anazosafiri kwenda zina mchango mdogo kwenye uchumi wetu.
Asafiri kutafta wawekezaji wa maana huko Ulaya walete mitaji kutusaidia ku exploit hizi natural resources tulizonazo.
Sio muda utasikia ana ziara Somalia.
Yaani hapa tumeingia cha kike kweli.
Wakuu Kazi Iendeleee.

Unapodai kuwa Kenya,Rwanda na Burundi zina tija kwa uchumi wa Tanzania umetumia data na statistics gani?Umetumia credible source gani katika information zako?Umetumia tafiti gani za uchumi?Haya mambo ya uchumi siyo mambo ya kupiga porojo kama alivyokuwa anafanya magufuli bali ni masuala ya data kutoka kwenye credible sources pamoja na tafiti.Kenya haina tija kwa uchumi wetu?!!!
Rwanda ,Burundi ,Kongo, Zambia hazina tija kwa uchumi wetu?
Kwa hiyo bandari ya Dar haina tija na uchumi wetu ?!!!😲😲
"Regional economy" si tija kwa WANANCHI wa kawaida eee?!
Ficha ujinga wakoHalafu nchi anazosafiri kwenda zina mchango mdogo kwenye uchumi wetu.
Na ww toka lini kwa hapa Tanzania shirika la Uma liloingiza faida zaidi ya hasara tupuHii ziara inaweza kuwa ya kimkakati na ya muhimu pengine kuliko ziara zote zilizofanyika toka mama aingie ikulu. Ni jambo la wazi kuwa katika nchi zote za maziwa makuu, DRC imejaaliwa kuwa na idadi kubwa ya watu takriban watu 120,000,000.
Itakumbukwa kuwa Tanzania tumejaaliwa kuwa na bandari, ambapo miongoni mwa nchi zinazotumia bandari yetu ni DRC.
Tanzania imekuwa ujenzi mkubwa wa reli ya mwendokasi ambayo inategemewa kuwa msaada mkubwa wa usafirishaji wa watu na mizigo kuelekea nchi za Rwanda, Burundi na DRC. Kimkakati, kama ujenzi huo utakamilika, Tanzania itakuwa imalamba dume kwa sababu tutaweza kujiinua kiuchumi kupitia sekta ya usafirishaji pamoja na kufaidika na masoko ya bidhaa zetu kupitia wato miliuoni miamoja waliopo mashariki mwa Kongo.
Mnyonge mnyongeni lakini haki haki yake apewe. Ziara ya Rais wetu huko DRC haipaswi kubezwa kwa sababu kiuchumi inalipa tofauti na nchi kama Rwanda, Burundi na Uganda ambazo zinapitisha mizigo yao katika bandari yetu ya Dar Es Salaam lakini, mizigo yao kidogo kuliko ile DRC kutokana na idadi ya watu katika nchi hizo ni ndogo.
Hongera Mh. Raisi wetu kwa kupanga ziara ya kimkakati ya DRC ambayo ni muhimu sana kwa musakabali wa uchumi wa nchi yetu.
Mizigo mingi ya DRC inapitia mpaka wa Tunduma, inaingia Zambia, Ndola, kisha Lubumbashi, siyo Kigoma. Kuna reli inajengwa kuelekea Tunduma?Hii ziara inaweza kuwa ya kimkakati na ya muhimu pengine kuliko ziara zote zilizofanyika toka mama aingie ikulu. Ni jambo la wazi kuwa katika nchi zote za maziwa makuu, DRC imejaaliwa kuwa na idadi kubwa ya watu takriban watu 120,000,000.
Itakumbukwa kuwa Tanzania tumejaaliwa kuwa na bandari, ambapo miongoni mwa nchi zinazotumia bandari yetu ni DRC.
Tanzania imekuwa ujenzi mkubwa wa reli ya mwendokasi ambayo inategemewa kuwa msaada mkubwa wa usafirishaji wa watu na mizigo kuelekea nchi za Rwanda, Burundi na DRC. Kimkakati, kama ujenzi huo utakamilika, Tanzania itakuwa imalamba dume kwa sababu tutaweza kujiinua kiuchumi kupitia sekta ya usafirishaji pamoja na kufaidika na masoko ya bidhaa zetu kupitia wato miliuoni miamoja waliopo mashariki mwa Kongo.
Mnyonge mnyongeni lakini haki haki yake apewe. Ziara ya Rais wetu huko DRC haipaswi kubezwa kwa sababu kiuchumi inalipa tofauti na nchi kama Rwanda, Burundi na Uganda ambazo zinapitisha mizigo yao katika bandari yetu ya Dar Es Salaam lakini, mizigo yao kidogo kuliko ile DRC kutokana na idadi ya watu katika nchi hizo ni ndogo.
Hongera Mh. Raisi wetu kwa kupanga ziara ya kimkakati ya DRC ambayo ni muhimu sana kwa musakabali wa uchumi wa nchi yetu.
Burundi ina mchango mdogo wa uchumi kwetu ?!!!
Kenya na Rwanda zina mchango mdogo kwa uchumi wetu ?!!!
Hivi yale magari 3000 yaliyopokelewa bandarini YANAPEKEKWA "huko Ulaya usemako"?!!!
Ulaya waje kuwekeza kitu gani?!!
Kwa hiyo "REGIONAL ECONOMY" kwako ni kupoteza muda?!!! [emoji44][emoji44]
#NchiKwanza
#KaziIendelee
#SiempreJMT
Mama anafungua nchi!Hii ndio kazi anayoimudu, awe na safari njema kwa kweli.
Huko sasa ndio pa kwendaWakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo.
Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya HH.