Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
[emoji16][emoji16][emoji16]Hii ndio kazi anayoimudu, awe na safari njema kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]Hii ndio kazi anayoimudu, awe na safari njema kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]Nitafurahi Sana Rais wangu mpendwa akienda Afghanistan kuwapongeza Taliban kwa kutwaa umiliki wa ardhi yao
Dah huyu mama Hana hbarii na miradi kabisaaWakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo.
Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya HH.
Akifika Congo atapokekewa na Mwenyeji Wake Rais Felix Tshisekedi.
Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi
Duh hii nimepitwaAnataka Vifua Matiti Saa Sita
Ila Kazi Nzito Ipo Yaani Ameongea Mpaka Unajiuliza Kawaza Nini
Wakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo.
Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya HH.
Akifika Congo atapokekewa na Mwenyeji Wake Rais Felix Tshisekedi.
Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi
Hana mda na miradi, Miradi alifanya Wakati Yuko Ni Makamu Wa Rais, Mama anayeya Hatari [emoji3]Dah huyu mama Hana hbarii na miradi kabisaa
Hili ndilo swali ambalo ulipaswa kuniuliza immediately nilivyodai kuwa hao akina Congo hawana thamani kwetu na wala siyo kudai bila data wala statistics kuwa hizi regional economy ni muhimu sana kwetu.Ikiwa sijakuwekea STATISTICS basi nilitegemea msomi wewe uniwekee statistics hizo kuwa BURUNDI NA KENYA hazina mchango katika uchumi wetu......
Tutaenda kila kona ya dunia tunakoona Tz ina maslahi napo ktk diplomasia ya kiuchumi. DRC ni mdau mkubwa wa bandari ya dsm. ni muhimu safari hii ina tija. Halafu ulaya na marekani nako tutaenda tu sana. Rais azingatie ushauri wa kina lema, sugu na msigwa, ambao hawakupendezwa na kutokuwapo kwa safari za nje wakati wa jpm, kuwa atoke nje ya nchi sana ili aifungue nchi.Anapenda kuzurura kama yale mapaka yasiyofugwa.Halafu anahangaika sana na nchi ambazo hazina tija kwa Taifa.Ataanza ziara za kuwatembelea wahisani wetu lini?
Wakati Kenya Ina Miradi Kibao TzHili ndilo swali ambalo ulipaswa kuniuliza immediately nilivyodai kuwa hao akina Congo hawana thamani kwetu na wala siyo kudai bila data wala statistics kuwa hizi regional economy ni muhimu sana kwetu.
Umefanya comparative analysis gani ukagundua kuwa Kenya ina miradi kibao TZ kuliko labda Japan kwa hiyo Kenya inapaswa kupewa kipaumbele katika ziara za Rais kuliko Japan?Wakati Kenya Ina Miradi Kibao Tz
Kwa nchi za afrika mashariki Nadhani(igawa Sina hakika) Kenya imewekeza Sana Tz, Kwa Maana banks na miradi Mingine.Umefanya comparative analysis gani ukagundua kuwa Kenya ina miradi kibao TZ kuliko labda Japan kwa hiyo Kenya inapaswa kupewa kipaumbele katika ziara za Rais kuliko Japan?
Mimi ninachozungumzia hapa ni vipaumbele.Rais ametumia kigezo gani kuipa Rwanda,Congo na Kenya kipaumbele katika ziara zake?Ni kweli kwamba Kenya,Congo na Rwanda zina tija kwetu kuliko mataifa mengine hasa ya nchi zilizoendelea?Tutaenda kila kona ya dunia tunakoona Tz ina maslahi napo ktk diplomasia ya kiuchumi. DRC ni mdau mkubwa wa bandari ya dsm. ni muhimu safari hii ina tija. Halafu ulaya na marekani nako tutaenda tu sana. Rais azingatie ushauri wa kina lema, sugu na msigwa, ambao hawakupendezwa na kutokuwapo kwa safari za nje wakati wa jpm, kuwa atoke nje ya nchi sana ili aifungue nchi.
I wish tz ingekuwa Bukinafaso au Mali....dreamliner ingerudi ikiwa tupu kwa amri ya cdfWakuu Kazi Iendeleee.
Taarifa zilizopo ni kwamba Rais Samia ana ziara ya kikazi nchini Congo.
Ataanza ziara hiyo wakati atakapotoka Zambia kwenye inauguration ya HH.
Akifika Congo atapokekewa na Mwenyeji Wake Rais Felix Tshisekedi.
Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi
Tunapozungumzia vipaumbele hatuzungumzii nchi za Afrika mashariki peke yake,tunazungumzia nchi zote duniani.Kwa nchi za afrika mashariki Nadhani(igawa Sina hakika) Kenya imewekeza Sana Tz, Kwa Maana banks na miradi Mingine.
I stand to be corrected guys