Rais Samia kuanza safari ya kikazi nchini DR Congo

hili la Zambia halijapoa limekuja hili
hili
#tunaishi angani
 
Anazurura kama yale mapaka yasiyofugwa.Halafu anahangaika sana na nchi ambazo hazina tija kwa Taifa.Ataanza ziara za kuwatembelea wahisani wetu lini?
Kenya haina tija kwa uchumi wetu?

Rwanda, Burundi ,Kongo, Zambia hazina tija kwa uchumi wetu?

Kwa hiyo bandari ya Dar haina tija na uchumi wetu?!!!😲😲

"Regional economy" si tija kwa WANANCHI wa kawaida eee?
 
Ukikaa nchale, ukisimama nchale, ukiruka nchale, ukikimbia nchale, ukifanya chochote nchale..

JPM alikuwa hasafiri kabisa tukaimba hapa wee Rais hasafiri, aende akajifunze akapate exposure, yeye humuhumu na misafara gharama kubwa na kelele kibao tukampigia..

Sasa, ameingia mama amesikia kilio chenu anasafiri...tumeanza kelele tena.
 
Wanafiki......

#KaziIendelee
#SiempreSSH
 
Tozo zinamwezesha.
 
Kwahiyo...!!
 

Hawezi kufanikiwa kuleta wawekezaji wakati sheria ni zile zile, ubambikiaji ni ule ule, kubadilisha sheria za kodi kila mwaka ni kulekule, mwekezaji gani mjinga ataenda nchi kama hiyo? Anayewabambikia watu kuwa ni wauaji, hawezi kushindwa kukubambikia wewe kuwa umekwepa kodi.
 

Anaupiga mwingi sana mama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenya haina tija kwa uchumi wetu?!!!

Rwanda ,Burundi ,Kongo, Zambia hazina tija kwa uchumi wetu?

Kwa hiyo bandari ya Dar haina tija na uchumi wetu ?!!!😲😲

"Regional economy" si tija kwa WANANCHI wa kawaida eee?!
Unapodai kuwa Kenya,Rwanda na Burundi zina tija kwa uchumi wa Tanzania umetumia data na statistics gani?Umetumia credible source gani katika information zako?Umetumia tafiti gani za uchumi?Haya mambo ya uchumi siyo mambo ya kupiga porojo kama alivyokuwa anafanya magufuli bali ni masuala ya data kutoka kwenye credible sources pamoja na tafiti.

Unapodai kwa mfano kuwa Congo au Rwanda ina tija katika uchumi wetu umelinganisha nchi hizi na nchi gani?Rwanda inaweza kuwa na tija katika uchumi wetu kumbe tija yake ni ndogo mara kumi ukilinganisha na nchi nyingine kutoka Ulaya na marekani kwa mfano.Haya mambo ya tija katika uchumi yanahitaji ufanye kwanza comparative analysis ya masuala mazima ya uchumi.Umefanya comparative analysis gani katika nchi mbalimbali hadi ugundue kuwa Congo inapaswa kupewa kipaumbele katika ziara za Rais kwa sababu ina tija kwetu kuliko nchi nyingine kutoka mfano ulaya na Marekani?

Wewe unaongea tu porojo kuwa Rwanda,Burundi sijui Congo zina tija kwetu bila kuwa na credible sources za data,statistics,informations na kadhalika.Mbaya zaidi hujafanya comparative analysis yoyote ile katika nchi mbalimbali ili kujua ni nchi zipi kwa uhakika zina tija kwetu kabla ya kufikia conclusion yako.Haya mambo huwa hayafanywi kama unavyotaka kufanya hapa.Haya mambo ni sayansi.

Huyu Mama wa Kambo anaependa kuzurura kama yale mapaka yasiyofugwa yeye anaenda tu Congo huko na kadhalika ila mradi aonekane kuwa Rais yupo ziarani.She is inept.
 
Na ww toka lini kwa hapa Tanzania shirika la Uma liloingiza faida zaidi ya hasara tupu
 
Mizigo mingi ya DRC inapitia mpaka wa Tunduma, inaingia Zambia, Ndola, kisha Lubumbashi, siyo Kigoma. Kuna reli inajengwa kuelekea Tunduma?
 

Kiukweli DRC ingejiunga na EAC tungelamba dume. Kwa rasilimali wametuzidi.

Nashauri awashawishi waondoe Visa nasi tuondoe tuwapokee Wacongo; mawasiliano simu pia ipo shida kubwa hata kwa EAC,
 
Huko sasa ndio pa kwenda
 

Asilimia kubwa ya mizigo unayopitisha bandarini inakwenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…