Rais Samia kuanza Ziara ya Siku 3 Nchini Ghana. Hii ni ziara ya 12 tangu aingie madarakani

Rais Samia kuanza Ziara ya Siku 3 Nchini Ghana. Hii ni ziara ya 12 tangu aingie madarakani

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Mwanzo Nilileta Uzi Wa kwanba Hangaya anasafiri Kwenda India, Ni Ghana na Sio India.

Rais Samia ameondoka Nchini Kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya Ziara ya kikazi ya siku tatu Nchini Humo.

======

Rais Samia anatarajiwa kuondoka leo kuelekea Accra Ghana kwa ziara ya kikazi ya siku 3 nchini humo.

Rais anatarajiwa kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, kupanda kwa bei ya vyakula na matumizi ya nishati endelevu.

Aidha anatarajia kupokea tuzo ya mwaka 2022 ya Babacar Ndiaye kwa mafanikio ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji ambayo hutolewa kila mwaka kwa Mkuu wa Nchi iliyofanya vizuri zaidi.

1653293464369.png

Hii ni ziara ya 6 kwa mwaka 2022, na ni ziara ya 12 tangu Rais Samia aingie madarakani.

Kujua safari nyingine za Rais soma Ziara za Rais Samia Suluhu Hassan tangu alipokuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Tanzania
 
Rais Samia anatarajiwa kuondoka leo kelekea Accra Ghana kwa ziara ya kikazi ya siku 3 nchini humo

Rais anatarajiwa kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, kupanda kwa bei ya vyakula na matumizi ya nishati endelevu

Aidha anatarajia kupokea tuzo ya mwaka 2022 ya Babacar Ndiaye kwa mafanikio ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji ambayo hutolewa kila mwaka kwa Mkuu wa Nchi iliyofanya vizuri zaidi



1653292169632.jpeg
]
 
Ghana ni moja kati ya nchi chache sana Africa inayoheshimu utawala bora na haki za Binadamu - wana katiba bora na chaguzi zao ni huru na haki kiasi kuwa mfano kwa kuigwa Africa.

Sijajua Rais anakwenda kwa lipi hasa !! lakini anaweza kujifunza kitu.
 
Ghana ni moja kati ya nchi chache sana Africa inayoheshimu utawala bora na haki za Binadamu - wana katiba bora na chaguzi zao ni huru na haki kiasi kuwa mfano kwa kuigwa africa.

Sijajua Rais anakwenda kwa lipi hasa !! lakini anaweza kujifunza kitu.
Hakuna kitu kinaaitwa raisi kujifunza kwa kwenda sehemu, raisi anapaswa kuongoza kwa kufuata katiba.
Huko kusafiri ni kutafuta fursa za kibiashara na kuhudhuria vikao
 
Katika ziara hiyo pia mkuu wa nchi hiyo ya Tanzania atapokea tuzo ya heshima ya Babacar Ndiaye inayohusu mafanikio ktk sekta ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji na mabarabara pia kuhudhuria mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB

Presidential Dialogue : Africa’s Development Challenges and Opportunities African Development Bank Group to hold 2022 Annual Meetings from May 23-27 in Accra, Ghana. Ghana will host the African Development Bank Group's 2022 Annual Meetings from 23-27 May in its capital, Accra. This year's meetings mark a return to in-person sessions

Ndiaye Trophy for transport success​




07-Apr-2022
samia-suluhu.jpg


Tanzanian President Samia Suluhu Hassan has been named the 2022 winner of the Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy. The prize is awarded to leading figures in Africa who have demonstrated their commitment to the development of transport infrastructure on the continent.

The selection committee for the award commended President Hassan for her “personal leadership, huge investments and commitment” to extending roads and the railway network in Tanzania. “We send our warm congratulations to President Samia Hassan and the people of Tanzania,” the selection committee said.

The committee noted the $290 million provided by the African Development Bank to support the revitalization of road, rail and air transport in Tanzania. It also took into account the $172.2 million contract signed with the China Corporation Limited to supply the country with 1,430 modern freight wagons to implement the ambitious Tanzania Railways Corporation railway program.

Finally, the committee noted the official start of construction on the historic project to build an outer ring road around the city of Dodoma. This project was launched by President Hassan on 11 February, in the presence of the President of the African Development Bank Group, Dr. Akinwumi A. Adesina.
Currently the only female head of state in Africa, Hassan came to power in March 2021, following the death of President John Magufuli, under whom she served as Vice-President.

Sponsored by the African Development Bank’s Adesina, the Africa Road Builders Babacar Ndiaye Trophy is organized by Acturoutes, an information platform on infrastructure and roads in Africa, and the organization Media for Infrastructure and Finance in Africa (MIFA), a network of African journalists specializing in road infrastructure. Nigerian President Muhammadu Buhari received the award in 2021.

The trophy was instituted in honour of Babacar Ndiaye, President of the African Development Bank Group from 1985 to 1995.The 2022 trophy will be awarded at the final conference of the Africa Road Builders, which is scheduled to take place alongside the African Development Bank’s next Annual Meetings in May in Accra, Ghana
 
Back
Top Bottom