Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasaidizi wake ndio Wakati wao Wa Kulamba Asali WallahHakuna kitu kinaaitwa raisi kujifunza kwa kwenda sehemu, raisi anapaswa kuongoza kwa kufuata katiba.
Huko kusafiri ni kutafuta fursa za kibiashara na kuhudhuria vikao
Kama analala je..!!!😂Huwa hachoki kukaa kwenye ndege?
Hilo nalo nenoKama analala je..!!!😂
Should be Mrs VascoVasco Dagama II.
Bado MzeeTarehe 23 leo vipi amesha achia salary au .... tusije msubiri mpaka kurudi
Hiyo tuzo kwa ujenzi wa miundombinu ni dhihaka tu, yeye mwenyewe nadhani analijua hiloKatika ziara hiyo pia mkuu wa nchi hiyo ya Tanzania atapokea tuzo ya heshima ya Babacar Ndiaye inayohusu mafanikio ktk sekta ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji na mabarabara pia kuhudhuria mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB
Ndiaye Trophy for transport success
07-Apr-2022
![]()
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan has been named the 2022 winner of the Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy. The prize is awarded to leading figures in Africa who have demonstrated their commitment to the development of transport infrastructure on the continent.
The selection committee for the award commended President Hassan for her “personal leadership, huge investments and commitment” to extending roads and the railway network in Tanzania. “We send our warm congratulations to President Samia Hassan and the people of Tanzania,” the selection committee said.
The committee noted the $290 million provided by the African Development Bank to support the revitalization of road, rail and air transport in Tanzania. It also took into account the $172.2 million contract signed with the China Corporation Limited to supply the country with 1,430 modern freight wagons to implement the ambitious Tanzania Railways Corporation railway program.
Finally, the committee noted the official start of construction on the historic project to build an outer ring road around the city of Dodoma. This project was launched by President Hassan on 11 February, in the presence of the President of the African Development Bank Group, Dr. Akinwumi A. Adesina.
Currently the only female head of state in Africa, Hassan came to power in March 2021, following the death of President John Magufuli, under whom she served as Vice-President.
Sponsored by the African Development Bank’s Adesina, the Africa Road Builders Babacar Ndiaye Trophy is organized by Acturoutes, an information platform on infrastructure and roads in Africa, and the organization Media for Infrastructure and Finance in Africa (MIFA), a network of African journalists specializing in road infrastructure. Nigerian President Muhammadu Buhari received the award in 2021.
The trophy was instituted in honour of Babacar Ndiaye, President of the African Development Bank Group from 1985 to 1995.The 2022 trophy will be awarded at the final conference of the Africa Road Builders, which is scheduled to take place alongside the African Development Bank’s next Annual Meetings in May in Accra, Ghana
Waghana ni Kama watanzania tuNinachofahamu ni ule tu uhusiano wa Nyerere na Nkuruham ndio umeyafanya mataifa haya kuwa marafiki. Nipokuwa kule walikuwa wanapenda sana kujua kuhusu Tanzania, ni watu wazuri sana, hawana mambo mengi
Hebu kaangalie FDI Thamani yake,tupembue yeye na magu tuone Nani wa maanaKeshajikatia tamaa ya kuongoza nchi, kaamua kuwa mzururaji hadi muda wake utakapoisha.
Wadada wa kule Wana misambwanda wanangu wa Musoma wakasome
23 May 2022
Accra, Ghana
Food security to top the African Development Bank Group's annual meeting in Ghana
Over 600 million Africans don't have access to energy and this is having a major impact in developing the continent. That's one of the issues that will dominate the African Development Bank Group's annual meeting in the Ghanaian capital Accra. The conference will officially commence on Monday with over 3000 participants expected to attend. SABC News International Reporter Khayelihle Khumalo joins us now from West Africa
Source : SABC News
Kwanini unachanganya habari za walio hai na za wafu?Hebu kaangalie FDI Thamani yake,tupembue yeye na magu tuone Nani wa maana
Huyu Maza cha maana ni ule ushungi tu,kama kawaida bill wanasimamia wadanganyika halafu mbona haendi na warume wake nani anamkaza huko