pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Mukibanwa munatoka nje ya mada,Weye mzenj tafuta thread yenye heading " Makamu wa Rais alivyowasili Uswisi" utapata unachokitafuta!!
Inawezekana humpendi sababu yaMimi huyu mama sjui kwa nini simpendi?
Mukibanwa munatoka nje ya mada,
Mie vyote ninavyo sina nitafutacho kazi ni kwenu,
Mama akienda kuwatumikia ooooh anasafiri sana,
Akienda mumpendae oooh kaenda na mkewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Keshajikatia tamaa ya kuongoza nchi, kaamua kuwa mzururaji hadi muda wake utakapoisha.
GoodExactly
Mpuuzi ni wewe uliyeshindwa kubishana kistaarabu na kuanza kutukana😄Ndiyo maana najificha mpuuzi mkubwa wewe
Yule aliyeiba 4mn😃!, wakati kuna mchwa wanatafuna mabilioni kila kona hivi sasa na hatujasikia hata mmoja akiwajibishwa zaidi ya wale wa MSD ambao PM alielekeza wachunguzwe!?Rais Samia hajawahi fanya ziara za hasara
Machinga wanafukizwa kwenda wapi?
Na wewe ka kwibe uone moto 👇
View attachment 2235357
Ndio nani huyo?👇Yule aliyeiba 4mn😃!, wakati kuna mchwa wanatafuna mabilioni kila kona hivi sasa na hatujasikia hata mmoja akiwajibishwa zaidi ya wale wa MSD ambao PM alielekeza wachunguzwe!?
Naye ajifunze kilimo cha nanasi kama JK.Nasikia wapo vizuri sn hata upande wa democrasia
OkNaye ajifunze kilimo cha nanasi kama JK.
Watu wake wana uchumi wa kiasi ganiGhana ni moja kati ya nchi chache sana Africa inayoheshimu utawala bora na haki za Binadamu - wana katiba bora na chaguzi zao ni huru na haki kiasi kuwa mfano kwa kuigwa Africa.
Sijajua Rais anakwenda kwa lipi hasa !! lakini anaweza kujifunza kitu.
Unaruka ruka tu,Kwani Chief Hangaya kakatazwa kwenda na sheikh Hafidh? Ni kiasi cha kupanga tu safari zake zioane na zamu yake nyumbani!!!
Kwame Nkrumah; Nyerere's friend.Moja ya nchi nzuri sana Afrika niliyowahi kuitembelea, Watanzania tunaingia tu na Passport zetu hakuna Visa
Kwa sababu wanajitosheleza, halafu wanajisikia fahari sana kubaki nchini kwao kwa sababu wanakipata wanachohitajiWanaonekana hawapendi kutembea tembea hovyo kama wa Nigeria na hata Raisi wao hasikiki sanaa, mifumo yao inaendana na nchi kama Bostwana, Namibia.
YAANI UMEANDIKA UZI KI UNAFIKI SANA KWA MAANA YAKO UNAONA HIYO SAFARI HAINA UMUHIMU KAMA ANAENDA KUZURURA SIYO? KUMBUKA HUKO ANAKUTANA NA MARAIS WA NCHI TOFAUTI TOFAUTI SASA JE NA HAO WENGINE NAO WANAZURURA? MAANA HAENDI KUKUTANA NA RAIS WA NCHI HIYO TU UNAPOANDIKA KITU TOA JAZBA ZA CHUKI KWANZA JIPANGE UANDIKE POINTWakuu Mwanzo Nilileta Uzi Wa kwanba Hangaya anasafiri Kwenda India, Ni Ghana na Sio India.
Rais Samia ameondoka Nchini Kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya Ziara ya kikazi ya siku tatu Nchini Humo.
======
Rais Samia anatarajiwa kuondoka leo kuelekea Accra Ghana kwa ziara ya kikazi ya siku 3 nchini humo.
Rais anatarajiwa kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, kupanda kwa bei ya vyakula na matumizi ya nishati endelevu.
Aidha anatarajia kupokea tuzo ya mwaka 2022 ya Babacar Ndiaye kwa mafanikio ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji ambayo hutolewa kila mwaka kwa Mkuu wa Nchi iliyofanya vizuri zaidi.
Hii ni ziara ya 6 kwa mwaka 2022, na ni ziara ya 12 tangu Rais Samia aingie madarakani.
Kujua safari nyingine za Rais soma Ziara za Rais Samia Suluhu Hassan tangu alipokuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Tanzania
Mama wa kupretend na wasaidizi wake walifika na mibarakoa yao halau wapokezi hawana hata mmoja. Maigizo ni mabaya sana na namcheki kidoni huko hata hana barakoa. H😂😂Hivi Corona bado ipo au imeisha?
Au basi