Rais Samia kuanza Ziara ya Siku 3 Nchini Ghana. Hii ni ziara ya 12 tangu aingie madarakani

Rais Samia kuanza Ziara ya Siku 3 Nchini Ghana. Hii ni ziara ya 12 tangu aingie madarakani

Weye mzenj tafuta thread yenye heading " Makamu wa Rais alivyowasili Uswisi" utapata unachokitafuta!!
Mukibanwa munatoka nje ya mada,
Mie vyote ninavyo sina nitafutacho kazi ni kwenu,
Mama akienda kuwatumikia ooooh anasafiri sana,
Akienda mumpendae oooh kaenda na mkewe
 
Mimi huyu mama sjui kwa nini simpendi?
Inawezekana humpendi sababu ya
Dini yake
Jinsia yake
Kabila lake
Ukanda wake
Utendaji kazi wake
Upole wake
Ukali wake
Vinginevyo ni maumbile tu ya mwanadamu, huwezi kupenda wote na huwezi kupendwa na wote
 
Huyu angekuwa Raisi wa Moja ya western country angekesha hewani mithili ya kunguru/popo; TANZANIA/TANGANYIKA KILA MTU AWEZA KUWA RAIS. Nikimtazama ,nikisikiliza hotuba zake,nikichambua interview zake,nikipima ufahamu wake, utendaji wake,hitimisho huyu mama wa kizanzibar anauwezo mdogo sanaa!!! Hapa neno bahati limefanya kazi kubwa sana kwa mama huyu:MAISHA NI BAHATI IPOKEE BY MWINJUMA MUUMIN
 
Mukibanwa munatoka nje ya mada,
Mie vyote ninavyo sina nitafutacho kazi ni kwenu,
Mama akienda kuwatumikia ooooh anasafiri sana,
Akienda mumpendae oooh kaenda na mkewe

Kwani Chief Hangaya kakatazwa kwenda na sheikh Hafidh? Ni kiasi cha kupanga tu safari zake zioane na zamu yake nyumbani!!!
 
Yule aliyeiba 4mn😃!, wakati kuna mchwa wanatafuna mabilioni kila kona hivi sasa na hatujasikia hata mmoja akiwajibishwa zaidi ya wale wa MSD ambao PM alielekeza wachunguzwe!?
Ndio nani huyo?👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-091942.png
    Screenshot_20220524-091942.png
    134.9 KB · Views: 4
Ghana ni moja kati ya nchi chache sana Africa inayoheshimu utawala bora na haki za Binadamu - wana katiba bora na chaguzi zao ni huru na haki kiasi kuwa mfano kwa kuigwa Africa.

Sijajua Rais anakwenda kwa lipi hasa !! lakini anaweza kujifunza kitu.
Watu wake wana uchumi wa kiasi gani
Au ni demokrasia tu wakati hali nI kma ya kwetu?
 
Kwani Chief Hangaya kakatazwa kwenda na sheikh Hafidh? Ni kiasi cha kupanga tu safari zake zioane na zamu yake nyumbani!!!
Unaruka ruka tu,
🤣🤣🤣

Bado nasisitiza kuna jamii inateseka sana awamu hii😂
 
Moja ya nchi nzuri sana Afrika niliyowahi kuitembelea, Watanzania tunaingia tu na Passport zetu hakuna Visa
Kwame Nkrumah; Nyerere's friend.
Kuna mtu aliwahi kunipa stori nyingine pia. Alikuwa yuko Canada anasoma halafu ikabidi aende akakae China kwa muda wa miezi kadhaa. Wachina walivyogundua kuwa ni Mtanzania, wakaamua kumpa accommodation bure kwa muda wote ambao alikaa huko. China Tanzania Friendship, na ndiyo iliyozaa kiwanda cha nguo cha URAFIKI
 
Wanaonekana hawapendi kutembea tembea hovyo kama wa Nigeria na hata Raisi wao hasikiki sanaa, mifumo yao inaendana na nchi kama Bostwana, Namibia.
Kwa sababu wanajitosheleza, halafu wanajisikia fahari sana kubaki nchini kwao kwa sababu wanakipata wanachohitaji
 
Wakuu Mwanzo Nilileta Uzi Wa kwanba Hangaya anasafiri Kwenda India, Ni Ghana na Sio India.

Rais Samia ameondoka Nchini Kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya Ziara ya kikazi ya siku tatu Nchini Humo.

======

Rais Samia anatarajiwa kuondoka leo kuelekea Accra Ghana kwa ziara ya kikazi ya siku 3 nchini humo.

Rais anatarajiwa kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, kupanda kwa bei ya vyakula na matumizi ya nishati endelevu.

Aidha anatarajia kupokea tuzo ya mwaka 2022 ya Babacar Ndiaye kwa mafanikio ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji ambayo hutolewa kila mwaka kwa Mkuu wa Nchi iliyofanya vizuri zaidi.

Hii ni ziara ya 6 kwa mwaka 2022, na ni ziara ya 12 tangu Rais Samia aingie madarakani.

Kujua safari nyingine za Rais soma Ziara za Rais Samia Suluhu Hassan tangu alipokuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Tanzania
YAANI UMEANDIKA UZI KI UNAFIKI SANA KWA MAANA YAKO UNAONA HIYO SAFARI HAINA UMUHIMU KAMA ANAENDA KUZURURA SIYO? KUMBUKA HUKO ANAKUTANA NA MARAIS WA NCHI TOFAUTI TOFAUTI SASA JE NA HAO WENGINE NAO WANAZURURA? MAANA HAENDI KUKUTANA NA RAIS WA NCHI HIYO TU UNAPOANDIKA KITU TOA JAZBA ZA CHUKI KWANZA JIPANGE UANDIKE POINT
 
Ko sa hv huwa hawali?
Hivi Corona bado ipo au imeisha?
Au basi
Mama wa kupretend na wasaidizi wake walifika na mibarakoa yao halau wapokezi hawana hata mmoja. Maigizo ni mabaya sana na namcheki kidoni huko hata hana barakoa. H😂😂
 
Back
Top Bottom