Rais Samia kuanza Ziara ya Siku 3 Nchini Ghana. Hii ni ziara ya 12 tangu aingie madarakani

Rais Samia kuanza Ziara ya Siku 3 Nchini Ghana. Hii ni ziara ya 12 tangu aingie madarakani

Rais Samia hajawahi fanya ziara za hasara

Machinga wanafukizwa kwenda wapi?

Na wewe ka kwibe uone moto πŸ‘‡

View attachment 2235357
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mwalimu mkuu tena? Shule za madarasa yapi, sh ngapi?

Katoa wezi, wauza poda, wamwagia watu tindikali..kaunganisha fraud empire, analisha mchwa n.k

Weka jumla ya pesa alizochukua huko nje, weka hapa matumizi yake kisha taja tangible things kama matokeo ya pesa hizo!

Usisahau kuweka mabilioni yaliyotajwa bungeni kuwa yamelipwa kama fidia ya mzozo wa accacia, ambayo mlitaka mjimilikishe kimya kimya!
 
Nikuwekee unanilipa sh.ngapi? Fuatilia bajeti kila kitu utakijua sio unaropoka ropoka
 
Nikuwekee unanilipa sh.ngapi? Fuatilia bajeti kila kitu utakijua sio unaropoka ropoka
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Bajeti ni ngonjera zile zile, hakuna atakayejali kuhusu bajeti kama vitu vinavyoonekana vinafanyika!

Ni wewe unayewataka watu waweke taarifa na ushahidi, ebu fanya kwa vitendo tuone kama mapambio yako yana tija!

Mpaka sasa, jambo linalofanyika na linaloonekana ni KUZURULA, TOZO na KURUDISHA msoga team madarakani.

Umeanza kupandisha sauti kidogo kwakuwa umejua ninachouliza na kuzungumzia, jambo jema!
 
Kumbe Jaffar Haniu amebakia Ikulu na kuwa chini ya Boss 'Njagu' Mtanzania Muingereza?
Nimerudia kusoma na inaonesha kuwa ni Kaimu. Sio Naibu.... Sasa kama amekaimu sijajua yule mwingereza mtanzania kaenda wapi..
 
23 May 2022

Wananchi wa Ghana walalamikia miundombinu ya barabara mibovu pia wakandarasi kushindwa kubanwa na serikali

Residents in Western Region of Ghana complain about the bad nature of their roads - AM Show on Joy News (23-5-22)

23 May 2022
Accra, Ghana

Mjini kati Accra Ghana changamoto za miundombinu ya barabara

Motorists & traders at Rawlings park call on government to fix potholes | Citi Newsroom

Hivi huyu jaffar haniu bado yupo kurugenzi ya mawasiliano ya Rais ikulu?
 
UVCCM_ TAIFA
MEI 23, 2022

TUNAKUTAKIA SAFARI NJEMA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)Taifa unakutakia Safari njema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN katika Ziara yako ya kikazi ya Siku tatu Accra, Nchini Ghana.

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeJuhesabiwa
#KaziIendeleeView attachment 2235622View attachment 2235623

Mimi huyu mama sjui kwa nini simpendi?
 
Back
Top Bottom