Ila watu design ya mama abdul ni makosa makubwa sana kuwapa nafasi kubwa za kufanya maamuzi yanayoathiri watu wengi. Mama abdul alifaa sana kwenye uanamitindo na uzururajiHapana mkuu kuna form wengi walifanya makubwa , huo ni uwezo wake TU ulivyo