Rais Samia kufanya Ziara ya Kihistoria Mkoani Katavi Julai 12-15, 2024

Wanakatavi wabubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia raisi wao kipenzi anakwenda kuwajulia hali!
 
Waganga Kazi Kwenu.
 
Tangu amekuwa Rais hajawahi kufika Katavi miaka 4 lakini Marekani kaenda zaidi ya mara 5, aibu kubwa sn
 
Lucas ulivyopotea nimepokea simu nyingi sana za wana jukwaa kukuulizia
Nikawajibu umekata tamaa ya kua chawa,
kumbe bado unaendelea na kazi, ulienda kutia mwili nguvu mpya

Mwaka huu teuzi tunayo au hatuna?
Huwa anatumia modem ya katibu wa CWT Wilaya ya chunya hivyo kuna saa Katibu anasafiri na modem yake anakuwa na access na internet
 
Naona kaamua kwenda mkoani kuzuga .ana mda mrefu kaji fungia hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…