Rais Samia kufanya Ziara ya Kihistoria Mkoani Katavi Julai 12-15, 2024

We umdanganye mtoto wa watu,kumbe wanawake nao ni wanadanganya wanaume aisee.
Mniache na ephen wangu.Nimeridhika naye na wala sisikiliza maneno ya mtu yeyote yule.nimeweka pamba masikioni mwangu na kupulizwa na upepo uliao jina la ephen muda wote.
 
Hebu tupe ya Ziara ya Mama Huko Katavi mzee.Achana na Ephen.
 
Anaenda kukagua lile pori linalotumika kuwapoteza wakosoaji wake?
sio pori la kupotezea watu, anakagua mapori ya kuuza... na kuji humanize mbele ya wana jamii wamuone mtu wao kabla hajawauzilia mbali kwa waarabu...

haendi bure bure tu... kila safari ya mpiga dili, kila kitu anachofanya mpiga dili kina hila na kina sababu zake...
 
So sad.
 
Back
Top Bottom