Rais Samia kufanya Ziara ya Kihistoria Mkoani Katavi Julai 12-15, 2024

Naona kaamua kwenda mkoani kuzuga .ana mda mrefu kaji fungia hewani
Hayo wasema wewe lakini kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua anafahamu kazi kubwa anayofanya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa.na kila sehemu mkono wa Rais wetu umefika na inafika kila siku.jicho la Rais wetu lipo kila eneo
 
Acha ujinga wako wewe
Huo ndio ukweli. Andaeni hela za kuhonga wahudhuriaji na kusimamisha wanafunzi masomo wahudhirie hizo ziara, ili kuhadaa umma kuwa mama na chama chake cha majizi wanakubalika.
 
Kila la kheri mh.Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Taifa Dr.Samia Suluhu Hassan...

waTanzania tunakupenda, tuna imani na matumaini makubwa sana na Serikali yako sikivu ya CCM,

daima Tunakuombea kwa Mungu akujalie Afya njema na bidii zaidi katika kazi zako nzuri sana unazofanya, za kuwaletea waTanzania wote Maendeleo endelevu 🐒
 
Huo ndio ukweli. Andaeni hela za kuhonga wahudhuriaji na kusimamisha wanafunzi masomo wahudhirie hizo ziara, ili kuhadaa umma kuwa mama na chama chake cha majizi wanakubalika.
Watu wanamkubali sana Rais Samia. Kwa sasa maelfu ya watu wanasafiri kwa hiyari yao kwenda kumsikiliza Mama Yao
 
Watu wanamkubali sana Rais Samia. Kwa sasa maelfu ya watu wanasafiri kwa hiyari yao kwenda kumsikiliza Mama Yao
Endeleeni kuiba fedha za umma na kukabidhi raslimali za umma kwa waarabu ili mpate hela za kuhonga chawa waweze kumpamba mama.
 
Wewe na chura wote majinga. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Naona unatamani sana ungekuwa ndio mimi.kwa hakika ungepata hadi ukichaa kwa raha na furaha tu ya kuwa na ephen.maana binti amejaliwa akili nyingi utafikiri alitengenezwa siku ya peke yake wakati wewe ukilaaniwa.
Nina wake wanne naridhika nao kabisa.
 
Lucas ulivyopotea nimepokea simu nyingi sana za wana jukwaa kukuulizia
Nikawajibu umekata tamaa ya kua chawa,
kumbe bado unaendelea na kazi, ulienda kutia mwili nguvu mpya

Mwaka huu teuzi tunayo au hatuna?

Mwashambwa akate tamaa ya kuwa chawa, halafu akafanye nini ili angalao aishi? Yeye kaamua kuitafuta tafsiri mpya ya kazi. Kwake kazi ni kufanya lolote, hata kama ni kwa kuudhalilisha utu na ubinadamu wako, alimradi tumbo lishibe.
 
Mimi sina njaa kama wewe.mimi ni mkulima naye kula kwa jasho langu kutokana na juhudi za mikono yangu kwa kufanya kazi kwa bidii, juhudi, maarifa na kujituma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…