Rais Samia kufanya Ziara ya Kihistoria Mkoani Katavi Julai 12-15, 2024

Cc. ephen_
 
Mimi sina njaa kama wewe.mimi ni mkulima naye kula kwa jasho langu kutokana na juhudi za mikono yangu kwa kufanya kazi kwa bidii, juhudi, maarifa na kujituma

Mimi naithamini sana kazi ya kilimo kwani ndiyo kazi inayoweza kumhakikishia mtu maisha, kuanzia yale ya kawaida mpaka ya utajiri. Na hiyo ndiyo kazi ya pili ya mwanadamu baada ya ile ya uwindaji.

Kama una uhakika wa kuishi, ya nini kuudhalilisha utu wako kwa kuwafanya wanadamu wenzako miungu watu? Sifa ni ya Mungu pekee, mwanadamu hupongezwa atendapo jema. Wewe, siku zote umeamua kufanya kufuru kwa kuwasifu viumbe wenzako wenye madaraka bila ya kujali wanafanya vyema au vibaya. Sifa za Muumbaji unazijaza kwa waumbwa, walio sawa na wewe. Wanaoweza kukosea kama unavyoweza kukosea wewe, wanaoweza kuwa watu wenye tamaa kupindukia, hata kulisaliti Taifa kama msaliti mwingine yeyote.

IGA ya DPW ni mbaya yenye kuashiria ufisadi wa kiwango cha ajabu; hakuna uwekezaji kwenye hifadhi zetu za misitu, waliopewa hifadhi hizo, wamepewa ili wavune na siyo kuwekeza; waliopewa mbuga za wanyama, wamepewa ili wanufaike na makusanyo ya fedha kupitia kile kilichopo, hakuna uwekezaji kwa sababu hawakuleta twiga wala tembo. Uchafu huo wote umefanywa na watawala. Asiyekengeuka, kamwe hawezi kuwasifia watawala wanaolisaliti Taifa kwa kupora rasilimali za nchi na kuwapatia wageni kupitia mikataba ya kishenzi, kama ule wa IGA kati ya TZ na Dubai, mkataba unaoua sovereignity ya nchi kwenye uwekezaji wa bandari.
 
Kama atapita kwenye barabara za vumbi kwenye ziara hiyo nitajiunga na CCM
 
📌
 
Mimi huwa naongea UKWELI tu na siyo kumpamba mtu au kumsifia au kumpa sifa asizostahili kupewa. Natambua watu aina yako hampendi kusikia ukweli au kuona UKWELI ukiandikwa hususani ukiwa kinyume na mitizamo yenu. Nitaendelea kuandika UKWELI bila kuchoka wala kukatishwa tamaa na watu aina yako.
 
Ubaya wa IGA ya DPW upo wapi ikiwa hauzuii makampuni mengine kuja kuwekeza kwenye sekta ya bandari?. Mnapotosha watu kwa lengo la kutafuta umaarufu bila ya kuangalia kwa kina madhara ya upotoshaji mlioufanya!.

IGA ingekuwa ni huo ubaya unaousema leo hii kampuni ya mhindi isingepewa nafasi ya kuwekeza kwenye magati namba 8-11 pale TPA.

Kwaa taarifa yako uwekezaji bandarini haujafika mwisho bado.
 

Hivi waganga wa Katavi wana umoja kama wale wa Simiyu? I am just curious maana waganga kama waganga
 
asisahau kujenga na sanamu la sativa pembezoni mwa mto ugalla kuvutia watalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…