Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

 
 
Wasanii gani wataambatana naye katika hii ziara?
 
Mama anatosha kuongoza wajinga kama wewe
 
Akili ndogo hii, hapa hatuzungumzii mtu mmoja mmoja , Tunazungumzia nchi kama nchi. Misaada sio pesa tu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hata mimi ningekuwa ndio Rais na nchi hii ilivyojaa matatizo na malalamiko ningekuwa ninakaa kidogo kisha huyoooo ninachomoka kwa speed ya mwewe. Hata Jk alitumia strategy hii hii. Ukikaa sana hapa nchini na kelele hizi unaweza kuchanganyikiwa. Acha mama akapoteze mawazo akirudi hapa anakaa kidogo anateua kisha anaapisha halafu ....huyoooo. Pia huko nje ndipo anatusaidia kupata misaada, au hamjui hizi nchi zetu za kiafrika ni omba omba!!??
 
Umesahau kuweka namba yako ya simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…