Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Leo nilikuwa Chato stand ya zamani nimeshuhudia mambo ya ajabu sana.
Eti Mama ametoa mikopo 10% ya mapato ya halmashauri. Alafu Mbunge Kalemani anabwatuka eti Mama amefanya mambo makubwa.
Haya kikundi kina wajasiriamali 30 unakipa milioni mbili hii inasaidia nini kiuchumi?
Unagawa bodaboda 30. Zinasaidia nini kiuchumi? Maana hao watu 30 hata kuleta marejesho nk kazi.
Kutumia pesa za walipa kodi ili kujipatia kura kwa kisingizio cha mapato ya Halmashauri ni uhuni wa kisiasa.
Hakuna Mwananchi yoyote wa Chato aliyeridhika na hili zengwe.
Narudi kwetu Igunga ila kweli lazima niseme.