Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

Nawauliza nyie bavicha happy Ufipa mnaokesha mkimjadili Shujaa Magufuli na uzalendo wake uliotukuka
 
ile barua ya rambirambi ya ikulu ingetosha kabisa, na angesisitiza tuchape kazi kumuenzi malkia, balozi wetu angetuwakilisha.
 
Nawauliza nyie bavicha happy Ufipa mnaokesha mkimjadili Shujaa Magufuli na uzalendo wake uliotukuka
Unajuaje, huenda muda huu ndio anampokea huko, si alisema anaenda kuwa kiongozi wa Malaika? Ukute Yuko kitengo Cha kupokea fresh Wafu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngonjear za aina hii siku nyingi. Wanatuzua sisi kujitegema na sisi tunakubali kuzuiwa? Kwa nini na sisi tusiwazuie wao kujitegemea. Acha ngonjera zilizopitwa na wakati.
Zimbabwe imefanyiwa nini? Au hujui kilicho watokea wazimbabwe? Kwanini nchi ambayo ilikuwa inashindana n South Africa leo ni masikini kuliko hata Tanzania?

Kama hata hilo hulitambui basi itabidi niache kuendela ku-debate na wewe, maana nitakuwa nampigia mbuzi gitaa wakati haelewi nini kinaendelea.

Duuh! Sikujua kama wewe ni bogus kiasi hicho au unajifanya huelewi?

Pole sana!!!
 
Sijui huu mfano unasaidia nini kutetea kuwa sisi ni tegemezi kwa West! Kujenga reli kwa mkopo kutoka China ndiyo tumemaliza kila kitu? Ningeona una hoja kama ungesema tumeacha kutegemea misaada ya West kabisa na sasa tunajitosheleza kwa juhudi zetu.
Umeuelewa lakini? Au unahitaji ufafanuliwe?

 
Backbenchers kwa Kiswahili wanaitwaje jamani
 
Mimi naongea uhalisia kwa kuweka ushahidi wa mambo makubwa aliyo yafanya mh Rais yaliyoishangaza Dunia baada ya kuona matunda yake, mama yupo kazini muda wote
Duh!

Akili yako wewe haipo sawa. Lakini sikushauri ukatafute msaada wa wataalam, maana haya yako hayana tiba.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngonjear za aina hii siku nyingi. Wanatuzua sisi kujitegema na sisi tunakubali kuzuiwa? Kwa nini na sisi tusiwazuie wao kujitegemea. Acha ngonjera zilizopitwa na wakati.

Na hili tukio la kutaka kumwuua Rais wa Madagaskar unalizingumziaje?

Unajua kwa nini walitaka kumwuua huyo Rais?

Kijana jaribu kusikiliza watu wanao jua mambo yanayo tokea duniani. Wafaransa ndiyo wamekuwa wakifanya hivyo mda wote kuwa-eliminate maRais wa Afrika ambao wanachukua maamuzi kinyume cha mataifa makubwa na yenye nguvu yanavyotaka.

Kwa Rais Magufuli haikuwa shida kwao. Kwa matatizo aliyokuwa nayo ya moyo haikuwa shida kuzima chombo ambacho alikuwa anakitumia ku-pump damu kwenye moyo wake kwa kutumia Electromagnetic Waves.
It is a simple technology.

Ma Rais wetu wanapata misuko suko mikubwa sana kila wakati wanapo amua kuchukua maamuzi tofauti na matakwa ya mataifa tajiri hasa EU. Nafikiri ulijionea mwenyewe jinsi gani Balozi za Westen World kama Amerika, England na kadhalika jinsi gani walikuwa wanaingilia mambo ya ndani ya nchi.

Umeona wapi mabalozi wa nchi wanaingilia mambo ya ndani ya nchi? Mabalozi wetu Amerika na nchi nyingine wanaweza fanya kama wao walivyo kuwa wanatufanyia?

 
Wanawake kwa kiherehere wako vizuri, mtu hujaambiwa uende lkn kwakuwa tozo zipo bc unaenda usipoitwa.
 
Masikini ratiba hii imeisha kufa
Hili la rais yuko UK, makamu yuko NY kwa maoni yangu ni muendelezo wa lile tatizo la upangaji wa vipaumbele vyetu, baada ya kumuona Rais Samia amekwenda UK, then mimi nilimpangia ratiba hii Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

Shughuli ya mazishi ya Malkia inaisha leo, kesho ilikuwa atoke UK na kutimba NY kama mwenzie Ruto. Unless ilikuwa ni mipango ya muda mrefu iliishapangwa VP atamuwakilisha UNGA, ratiba ya msiba ndio ikaingilia!.

Ila tukubali, tukatae, kwenye cost cutting za trips trips JPM alikuwa mzuri!, kwa umasikini wetu, we didn't have to send two different delegations to two separate events ambazo ziko just two days apart, one delegation would have been enough to cover both events.

P
 
Wewe unafikiri Jembe angeenda huko? Thubutuu! Jembe hakuwa mtu wa kuwatukuza Half Apes People. Maisha yake yalikuwa dedicated kwa watanzania wenzake. Alijua vitu watu wanavyo vihangaikia huko majuu, ndiyo masna alijitahidi nasi nasi tuwe navyo hapahapa. Kwa kiasi kikubwa cha maisha yake kama Rais, naweza sema, amefanikiwa. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi! Amina
 

Attachments

  • 20220919_195034.jpg
    521.7 KB · Views: 2
  • 20220919_195008.jpg
    332.2 KB · Views: 2
  • 20220919_194852.jpg
    550.6 KB · Views: 2
  • 20220919_194836.jpg
    552.7 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…