Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II

Sawa Rais Wetu Tuwakikishe Vyema Huko Msibani
Usisahau Kutuombea Vijipesa Kidogo Japo Wana Msiba
 
Safarii matumizi hayajapunguzwa apande emirates[emoji3][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Foolish MENTALITY..
Nyie ndio mnaosababisha hizi nchi masikini zizidi kutawaliwa na kudharaulika.

Huo msiba una heshima gan mpaka kuwe na ulazima wa kuudhuria?

Wao mbona hawakuhudhuria misiba ya marais wetu? Utegemezi ndio unaoifanya serikali ya ccm iamini bila kuwanyenyekea mabeberu basi hakuna maendeleo, mnaamin hakuna maendeleo bila kujihusisha na hao waliowatumikishwa kwa mamia ya miaka utumwani.

Futa huu upumbavu wako,
Mkuu umeongea jambo la maana sana. Magu alikufa hapa huyo mdudu hata kutuma mwakilishi hakutuma
 
Mambo mengine kujidhalilisha tu, unahudhulia hafla ambayo ni nobody, hakuna mtu hata anajua wewe ni nani, hapo US Presidents aliyepo na wastaafu, kuna Hollywood celebrities na watu wengine maarufu sasa huyo atakajali uwepo wa raisi wa Tanzani ni nani ?
Ametua wakamuuliza wewe ni rais ama mke wa rais
 
Kiukweli nimeipenda heshima hii Rais Samia aliyo shuka nayo jiji la London

Nilitamani sana angeshuka hivi Jijini New York ile trip ya Royo Tua hivyo kwanza tulishauri Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York kilichotokea ni Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?

Na baada ya msiba, apumzike kidogo for check up, shopping & relax just a little bit, then aende straight New York kwenye UNGA and this time ahutubie kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Angalau ule mkataba wa anga huria kati ya US na Tanzania uwe na sisi tumeuonja!.

Mungu Mbariki Samia,
Mungu Ibariki Tanzania
P
Hii heshima hupewa kiongozi mwenye mwaliko toka serikali husika,/mkuu wa chi. New York Samia hajawai kwenda kwa mwaliko zaidi ya kujipangia tu. So hawezi pata hiyo heshima.
 
Mkuu umeongea jambo la maana sana. Magu alikufa hapa huyo mdudu hata kutuma mwakilishi hakutuma
Nyamaza wewe Mjinga, hujui kitu. Una uhakika UK hawakuwa na mwakilishi kwenye Mazishi? Boris Johnson alikuwa kiongozi wa kwanza wa kidunia kutweet salamu za pole wakati wa kifo Cha Magufuli. Prince Philip alikuja kukukabidhi uhuru 1962 lakini pia ujumbe wa juu kabisa kutoka buckham palace ulihudhuria Mazishi ya Late Julius K Nyerere. Pumbavuu
 
Mambo mengine kujidhalilisha tu, unahudhulia hafla ambayo ni nobody, hakuna mtu hata anajua wewe ni nani, hapo US Presidents aliyepo na wastaafu, kuna Hollywood celebrities na watu wengine maarufu sasa huyo atakajali uwepo wa raisi wa Tanzani ni nani ?
Acha kuteseka
 
Back
Top Bottom