Inanilazimu niulize: Kwani ni rais wao?Zanzibar diaspora ya London ni kubwa sana. Watampokea vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inanilazimu niulize: Kwani ni rais wao?Zanzibar diaspora ya London ni kubwa sana. Watampokea vizuri.
Nimemisi sana Wines za Uingereza baada ya Kuzizoea hizi za Dar es Salaam na Dodoma.Mama samia tayari kawasili london kwenye mazishi. Je, ni marais wote wanakwenda au inakuwaje? View attachment 2360022
Ndiyo na ni wa kwako piaInanilazimu niulize: Kwani ni rais wao?
Amefanya kitendo cha maana sana kukubali mwaliko wa familia ya mfalme hudhirio hili lina maana kubwa sana kwani atakutana na viongozi na big shorts wote wa dunia,so opportunities kama hizi kwenye economic diplomacy ni muhimu kweli.ila pia shughuli hii inaendeshwa na royal family na sisi pia ni members wa common wealth so tuna wajibika kwa hili kwa asilimia kubwa na appreciation ya RF siyo jambo dogo.Tayari Londoni kuliwakilisha taifa
View attachment 2360034
Ni vizuri sana amefika huko na jopo lake pia ajifunze wengine wanavyoweka nchi na watu wake wakaishi Kwa amani sio na Panya Road. Pia usafi wa miji waliko chini yake jifunzeni acheni kufumba macho na kupiga Hela za wananchi maskini.Mama samia tayari kawasili london kwenye mazishi. Je, ni marais wote wanakwenda au inakuwaje? View attachment 2360022
Nyani waliposikia mkulima wa mahindi amefariki walifurahi sana maana alikuwa akiwafukuza shambani....ila baada ya mwaka kupita Njaa ilizidi nyani wale wakatambua umuhimu wa mkulima..[emoji1241]🤏Tayari Londoni kuliwakilisha taifa
View attachment 2360034
Wivu kwani anaenda huko kwa pesa za mzee suluhu na anamuakilusha mzee Hassani?Raisi ahudhurie au asihudhurie kama umepigika utapigika tu. Mengine ni wivu tu. Huu msiba ni wa kiongozi wa jumuia ya madola, raisi yeyote wa kuanzia Nyerere hadi JK ungewakuta madarakani wangehudhuria isipokuwa JPM asingeenda kwa sababu za kiafya na si vingine. Acheni wivu
Nchini kwake mambo kibao kayanyamazia we unazungumzia kuongea kuongea vizuri kiingereza na wazungu huko.JPM lugha ilimpiga chenga. Angeenda kujiaibisha tu huko.
Hi comment Ni muhimu haswaNyani waliposikia mkulima wa mahindi amefariki walifurahi sana maana alikuwa akiwafukuza shambani....ila baada ya mwaka kupita Njaa ilizidi nyani wale wakatambua umuhimu wa mkulima..[emoji1241]🤏
Kiukweli nimeipenda heshima hii Rais Samia aliyo shuka nayo jiji la LondonRais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili London nchini Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza.
View attachment 2360184
Mama samia tayari kawasili london kwenye mazishi. Je, ni marais wote wanakwenda au inakuwaje? View attachment 2360022