Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Mbona kawahi hivyo?🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania hawajulikani wanataka niniMagufuli alipokuwa hasafiri kuna watu humu walikuwa kutwa kulalamika
Ova
Ndege gani?Yaan ile ndege imepaaa moja kwa moja hadi london. Nyie nyie nyie nyie nyie amkeni jaman
Viva MagufuliYaan ile ndege imepaaa moja kwa moja hadi london. Nyie nyie nyie nyie nyie amkeni jaman
Uamuzi mzuri.Tayari Londoni kuliwakilisha taifa
View attachment 2360034
Foolish MENTALITY..Kwanza ni heshima kupata mwaliko na pia ni hatua nzuri sana Kwa ajili ya kuimarisha uhusiano. Juzi tu hapa filamu ya The Loyal Tour ilipondwa lkn matokeo yanaonekana. Yaani Wadau wa utalii wamezidiwa wateja. Sasa kitendo Cha Mheshimiwa Rais wetu kuhudhuria mazishi ya malkia ambaye alivalishwa ALMASI ya Pink kutoka mgodi wa Williamson Mwadui pamoja na mambo mengine basi utalii na watu wa uingereza na ulaya watakuja Tanzania kutalii. Pongezi nyingi sana Kwa MH SSH kutuwakilisha. Kazi iendelee
Kwahiyo wote wataenda? Akina Ruto, Hichilema, Museveni et al??Hawa jamaa ni kama maboss zetu sasa boss kapata msiba alaf hauendi si unatafuta balaa
We unajuaje?Uamuzi mzuri.
Ni Malikia au Malkia?
Kwahiyo wote wataenda? Akina Ruto, Hichilema, Museveni et al??
Au ndio ile unaenda msibani halafu unaomba nauli ya kurudi? Kwamba asipoenda ataulizwa? Nchi iko vitani, Vita ya kiuchumi. Kila mahali tozo!
Watuondolee basi hizi tozo!
Huyu mama anapenda safari sijawahi ona!
Na sijawahi kumsema vibaya kiongozi yeyote wa hili taifa, ila huyu mama; mtanisamehe bure!
Huenda nahitaji ushauri au maombi ili nimuelewe! Simuelewi hata kidogo!
Kumbuka yeye ni Rais aliyepata mwaliko kuhudhuria hayo maziko, asingeweza kukataa kidiplomasia ikizingatiwa Tz ni mwanachama wa commonwealthMambo mengine kujidhalilisha tu, unahudhulia hafla ambayo you miss nobody, hakuna mtu hata anajua wewe ni nani, kuna US President na watu wengine maarufu sasa unakwenda kufanya nini?
Kumbuka yeye ni Rais aliyepata mwaliko kuhudhuria hayo maziko, asingeweza kukataa kidiplomasia ikizingatiwa Tz ni mwanachama wa commonwealth
Tuachie Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anayeendelea kuliheshimisha Taifa letu na kudumisha mahusiano yetu ya kidiplomasia na uingereza, wewe unahitaji matibabu ya kisaikolojia tuKwahiyo wote wataenda? Akina Ruto, Hichilema, Museveni et al??
Au ndio ile unaenda msibani halafu unaomba nauli ya kurudi? Kwamba asipoenda ataulizwa? Nchi iko vitani, Vita ya kiuchumi. Kila mahali tozo!
Watuondolee basi hizi tozo!
Huyu mama anapenda safari sijawahi ona!
Na sijawahi kumsema vibaya kiongozi yeyote wa hili taifa, ila huyu mama; mtanisamehe bure!
Huenda nahitaji ushauri au maombi ili nimuelewe! Simuelewi hata kidogo!
Marehemu is a long time serving head of Commonwealth. Heshima kwake ni kubwa kwa nchi kama Tz akaribishwe Rais lakini yeye atume mwakilishi. Du, kunahitajika busara ya kulaumuKuwakilishwa siyo kukataa, Dunia nzima imealikwa karibia, anyway hivyo ni jinsi nionavyo mimi, labda kuna umuhimu wa yeye kwenda!