Kesho akiitwa comoro, ataenda.Wapi morals, Rais huyu wa Nigeria 🇳🇬 amechaguliwa kwenye uchaguzi wenye utata mwingi, heshima ya Tanzania imepotea kabisa
😂Ikiwezekana akakae kabisa huko.maana huku hakuna anachowafanyia watz.
Wana tofauti kubwa na ya wazi kabisa....mmoja mwanamke na mwingine mwanaumeHuyu mama na JK sijajuaga tofauti zao.
Ndege wanaofanana huruka pamojaWapi morals, Rais huyu wa Nigeria [emoji1184] amechaguliwa kwenye uchaguzi wenye utata mwingi, heshima ya Tanzania imepotea kabisa
[emoji7][emoji7]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nchi hiyo Mhe. Bola Tinubu, aliyeshinda kiti hicho kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Februari 2023.View attachment 2638368View attachment 2638370
[emoji106]Safi Rais wetu mpendwa kwa kutuwakilisha vyema Kimataifa.
[emoji15][emoji15]Ikiwezekana akakae kabisa huko.maana huku hakuna anachowafanyia watz.
[emoji7][emoji7]..Nigeria ina mchango ktk ulinzi wa nchi yetu.
..baada kuzimwa kwa maasi ya Jeshi la Tanganyika /Tanganyika African Rifles mwaka 1964, Nigeria walituma kikosi cha wanajeshi kuja kulinda amani hapa nchini.
..Nigeria pia ilikuwa na mchango mkubwa ktk vita vya ukombozi kusini mwa Afrika. Walitoa msaada mkubwa wa kifedha na kidiplomasia kwa vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika.
..kwa msingi huo ni muhimu sana Raisi wa Tanzania kudumisha mahusiano mema ya muda mrefu kati ya Tanzania na Nigeria.