Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.

Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.

Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.

Ahsante
 
Uvccm watakubali sasa?
 
Nashauri yaandaliwe makundi mawili, la kwanza ni la wasomi vyeti na wasomi ajira, ambao wamesoma ili wapate ajira na kila wanachofanya kupitia usomi wao, watahitaji kulipwa ili kuisaidia nchi yao.

Kundi la pili ni la watu wa kawaida tuu ambao sio wasomi bali ni Wazalendo, wakwelina wa taifa lao, ambao wamefuta ujinga kwa kuelimika, hawa hawakusoma ili kupata ajira, hawa wamesoma ili tuu ili kelimika na wanaitumia bure elimu yao kulisaidia taifa lao bure, na hawahitaji malipo yoyote. Hawa wameisha anza kumsaidia Rais Samia kupata katiba mpya bora bila kuhitaji kulipwa chochote.

Miongoni mwa Wazalendo hawa, yupo mwandishi mmoja wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, aliyesomea sheria, UDSM na LL.B yake ni hons, ambaye somo alilioongoza ni LW 100 la Katiba lililokuwa linafundishwa na Prof. Issa Shivji, akapiga A ya 100!, utadhani mtihani anatunga yeye!, na baada ya kuhitimu akaitupilia kabatini shahada yake na kuendelea na fani yake ya uandishi wa habari.

Kwa sasa anafanya kazi ya uelimishaji umma kuhusu haki, sheria na katiba kupitia Kipindi cha TV kiitwacho "Kwa Maslahi ya Taifa" kikiandamana na makala magazetini na humu JF. Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni Nini, ya Nani, ya Kazi Gani?. Msemo "Katiba Ndio Kila Kitu" Una Maana Gani?. Katiba Ina Umuhimu Gani?

Hivyo wakati wasomi vyeti na wasomi ajira mkisubiria kulipwa ili mlisaidie taifa letu kupata katiba bora, sisi Wazalendo ambao sio wasomi, tunaendelea kulisaidia taifa letu bure.

P
 
Mada kama hizi zinashusha hadhi ya JF. Mwandishi ni baina ya wale vijana wa hovyo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili.

Lengo la mleta mada ni kuweka taswira kuwa kuna ulaji unatafutwa kwenye suala la katiba mpya.

Wanajaribu kuzuia mafuriko Kwa mikono.
 
Nashauri yaandaliwe makundi mawili, la kwanza ni la wasomi vyeti na wasomi ajira, ambao wamesoma ili wapate ajira na kila wanachofanya kupitia usomi wao, watahitaji kulipwa ili kuisaidia nchi yao.

Kundi la pili ni la watu wa kawaida tuu ambao sio wasomi bali ni Wazalendo, wakwelina wa taifa lao, ambao wamefuta ujinga kwa kuelimika, hawa hawakusoma ili kupata ajira, hawa wamesoma ili tuu ili kelimika na wanaitumia bure elimu yao kulisaidia taifa lao bure, na hawahitaji malipo yoyote. Hawa wameisha anza kumsaidia Rais Samia kupata katiba mpya bora bila kuhitaji kulipwa chochote.

Miongoni mwa Wazalendo hawa, yupo mwandishi mmoja wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, aliyesomea sheria, UDSM na LL.B yake ni hons, ambaye somo alilioongoza ni LW 100 la Katiba lililokuwa linafundishwa na Prof. Issa Shivji, akapiga A ya 100!, utadhani mtihani anatunga yeye!, na baada ya kuhitimu akaitupilia kabatini shahada yake na kuendelea na fani yake ya uandishi wa habari.

Kwa sasa anafanya kazi ya uelimishaji umma kuhusu haki, sheria na katiba kupitia Kipindi cha TV kiitwacho "Kwa Maslahi ya Taifa" kikiandamana na makala magazetini na humu JF. Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni Nini, ya Nani, ya Kazi Gani?. Msemo "Katiba Ndio Kila Kitu" Una Maana Gani?. Katiba Ina Umuhimu Gani?

Hivyo wakati wasomi vyeti na wasomi ajira mkisubiria kulipwa ili mlisaidie taifa letu kupata katiba bora, sisi Wazalendo ambao sio wasomi, tunaendelea kulisaidia taifa letu bure.

P

Tangia Mama aseme huvinjari JF harakati zako zimeongezeka mkuu 🤣🤣
 
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.

Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.

Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.

Ahsante
Huna elimu yoyote kuwazidi kina prof wajalalani waliobadilisha uelekeo baada yakurushiwa tu-mchele!! Saiv ukimuuliza yakatiba ataanza kufumuka maneno, kutoa macho na mate pembeni ya midomo
 
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.

Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.

Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.

Ahsante

Katiba ipo tayari, ni ile ya Warioba, kilichobaki ni kupitishwa tu.
 
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.

Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.

Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.

Ahsante

Mtu anatumia vigezo gani kujiita msomi? Naomba tu maelekezo
 
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.

Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.

Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.

Ahsante
sio kwamba ufanye kama mzalendo sasa unataka fungu tena
 
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.

Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.

Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.

Ahsante
Mama wewe piga Blabla siku zako zipite katika ni kisiki kigumu Sana Pandora Box ukijichanganya huo ni Mziki Mnene.
 
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.

Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.

Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.

Ahsante
Toa utumbo wako hapa bwashee
 
Nashangaa wasiotaka katiba uoni wao ni hafifu kiasi gani!? hata Kama wapo katika nafasi zinazowanufaisha kutokana na katiba ambayo ni ukweli usiopingika kwamba ni mbovu kulingana na wakati tulio nao!! Ifike wakati tufikirie na maisha ya watu wengine ambao wanakosa haki zao nyingi kutokana na katiba iliyopo kutokidhi mahitaji ya wakati.

Ebu fikiria mnafanya uchaguzi ambao katiba inasema matokeo ya kura za rais hayatahojiwa na mahakama yoyote!!! Maajabu ya millenia!.

Eti rais halazimiki kufata ushauri wa mtu yeyote hata uwe mzuri kiasi gani,,hii ni pamoja na kutosikiliza mihimili mingine inasemaje!!

Eti rais hatoshitakiwa kwa Jambo lolote atakalotenda kijinai akiwa madarakani na Wala akishatoka madarakani hatawajibika

Eti rais ndo trustee wa ardhi ya nchi.

Eti rais ndo mteuzi wa makamishina wote wa tume ambao watasimamia uchaguzi ambao nae anashiriki.

Eti rais ndo msaini mikataba na Baraza lake huku bunge likinyimwa haki ya kuipitia

Eti rais anateua wabunge 10 wa bure sijui Hawa wanamwakilisha Nani?!

Eti rais ni mteuzi wa wakurugenzi ambao ndio wasimamizi wakuu wa uchaguzi ambao mwajiri nae anagombea.

Haya Mambo yanakubalika Tz tu ambako wananchi wamelishwa limbwata.Kama Samia kayaona haya anataka kwa nia njema atusaidie basi aungwe mkono.

Enyi walafi mliokula nchi hii muda wote ni wakati sasa mtuache na sisi angalau tunufaike.

Mnakuja na nyimbo zenu za kijinga eti uzalendo kumbe mnatunisha vitambi.

Mzalendo nchi hii atakuwa Samia tu endapo atatupatia Katiba mpya nzuri bila kuangalia maslahi ya vibaka wanaopiga kelele.

Watu wanamuangalia Mbowe kienyeji enyeji lakini linapokuja swala la uzalendo kwà nchi basi anaweza kuwa Kati ya wazalendo wachache wa nchi hii.
 
Mkuu hakuna uzalendo katika Mambo muhimu unadhani kuingia mtaani kutafta maoni ni Rahisi ?
Nashauri yaandaliwe makundi mawili, la kwanza ni la wasomi vyeti na wasomi ajira, ambao wamesoma ili wapate ajira na kila wanachofanya kupitia usomi wao, watahitaji kulipwa ili kuisaidia nchi yao.

Kundi la pili ni la watu wa kawaida tuu ambao sio wasomi bali ni Wazalendo, wakwelina wa taifa lao, ambao wamefuta ujinga kwa kuelimika, hawa hawakusoma ili kupata ajira, hawa wamesoma ili tuu ili kelimika na wanaitumia bure elimu yao kulisaidia taifa lao bure, na hawahitaji malipo yoyote. Hawa wameisha anza kumsaidia Rais Samia kupata katiba mpya bora bila kuhitaji kulipwa chochote.

Miongoni mwa Wazalendo hawa, yupo mwandishi mmoja wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, aliyesomea sheria, UDSM na LL.B yake ni hons, ambaye somo alilioongoza ni LW 100 la Katiba lililokuwa linafundishwa na Prof. Issa Shivji, akapiga A ya 100!, utadhani mtihani anatunga yeye!, na baada ya kuhitimu akaitupilia kabatini shahada yake na kuendelea na fani yake ya uandishi wa habari.

Kwa sasa anafanya kazi ya uelimishaji umma kuhusu haki, sheria na katiba kupitia Kipindi cha TV kiitwacho "Kwa Maslahi ya Taifa" kikiandamana na makala magazetini na humu JF. Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni Nini, ya Nani, ya Kazi Gani?. Msemo "Katiba Ndio Kila Kitu" Una Maana Gani?. Katiba Ina Umuhimu Gani?

Hivyo wakati wasomi vyeti na wasomi ajira mkisubiria kulipwa ili mlisaidie taifa letu kupata katiba bora, sisi Wazalendo ambao sio wasomi, tunaendelea kulisaidia taifa letu bure.

P
 
Mkuu hakuna uzalendo katika Mambo muhimu unadhani kuingia mtaani kutafta maoni ni Rahisi ?

Hii utaelewana na wasaka fursa tu na hasa wale waliogundua Mama hutembelea JF.

Tegemea kuona CV zao, lengo wafikiriwe kwa teuzi.

Angalizo: Katiba mpya ni busara mno ianzie alipoishia Warioba.

Haihitajiki elimu kuhusu katiba mpya. Huko ni kutaka kuturudisha nyuma.
 
Back
Top Bottom