Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

Hii utaelewana na wasaka fursa tu na hasa wale waliogundua Mama hutembelea JF.

Tegemea kuona CV zao, lengo wafikiriwe kwa teuzi.

Angalizo: Katiba mpya ni busara mno ianzie alipoishia Warioba.

Haihitajiki elimu kuhusu katiba mpya. Huko ni kutaka kuturudisha nyuma.
Uzuri Mama kasema ukweli kuwa ana andaa Fungu ili wasomi wagawane Majukumu na kuyakusanya makundi yote ili watu wapate katiba inayotokana na maoni ya wananchi.
 
Uzuri Mama kasema ukweli kuwa ana andaa Fungu ili wasomi wagawane Majukumu na kuyakusanya makundi yote ili watu wapate katiba inayotokana na maoni ya wananchi.

Ulionyesha fungu la elimu. Elimu haihitajiki. Inatakiwa rasim ya Warioba ipo kabatini miaka 10 sasa. Tutaendelea alipoishia Warioba na marekebisho kidogo kwa changamoto ambazo hazikuwa bayana siku hizo.
 
Tangia Mama aseme huvinjari JF harakati zako zimeongezeka mkuu 🤣🤣
Huku sio kunitendea haki!. Nimo humu tangu enzi za Blaza, napandisha mabandiko mawili kila wiki, na kati ya mawili hayo moja pia lina makala ya magazetini.

The speed is the same wakati huu wa Mama, hivyo kitendo cha kujua humu huwa anaingia in person, then nita establishes one to one communications na yeye kwa kubandika baadhi ya mabandiko uni direction beaming at her, akisoma tuu atajijua mlengwa ni yeye hivyo kuchukua hatua kimya kimya!. Yule Blaza wangu nilimsaidia sana, na Mama anahitaji kusaidiwa sana kuliko hata Blaza, kwasababu Blaza alikuwa na very high IQ, kuna vitu huwezi kumdanganya.

Ile siku napandisha bandiko hili nililipandisha saa 5:30 usiku!. Amimi usiamini kuna mtu alipigiwa simu saa 9 usiku na kutukanwa kama mtoto mdogo!.

Aliyetukanwa akatumiwa link, kumuona kumbe mwandishi ni mimi na ananijua, asubuhi akaamka na mimi!.

Hivyo JF inawasaidia sana viongozi wetu na Mama anahitaji kusaidiwa sana!. Msaada mkuu wa kwanza ni kumweleza wengi wanaomchagiza agombee 2025 ni wanamdanya!. Huu ndio msaada mkuu kwa Mama ni ushauri huu Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke ili ahakikishe vitu muhimu vyote anavilamilisha before October 2025!. Tunaendelea kumshauri Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
P
 
Ulionyesha fungu la elimu. Elimu haihitajiki. Inatakiwa rasim ya Warioba ipo kabatini miaka 10 sasa. Tutaendelea alipoishia Warioba na marekebisho kidogo kwa changamoto ambazo hazikuwa bayana siku hizo.
Muda ukifika yote yatajulikana Mkuu .
 
Huku sio kunitendea haki!. Nimo humu tangu enzi za Blaza, napandisha mabandiko mawili kila wiki, na kati ya mawili hayo moja pia lina makala ya magazetini.

The speed is the same wakati huu wa Mama, hivyo kitendo cha kujua humu huwa anaingia in person, then nita establishes one to one communications na yeye kwa kubandika baadhi ya mabandiko uni direction beaming at her, akisoma tuu atajijua mlengwa ni yeye hivyo kuchukua hatua kimya kimya!. Yule Blaza wangu nilimsaidia sana, na Mama anahitaji kusaidiwa sana kuliko hata Blaza, kwasababu Blaza alikuwa na very high IQ, kuna vitu huwezi kumdanganya.

Ile siku napandisha bandiko hili nililipandisha saa 5:30 usiku!. Amimi usiamini kuna mtu alipigiwa simu saa 9 usiku na kutukanwa kama mtoto mdogo!.

Aliyetukanwa akatumiwa link, kumuona kumbe mwandishi ni mimi na ananijua, asubuhi akaamka na mimi!.

Hivyo JF inawasaidia sana viongozi wetu na Mama anahitaji kusaidiwa sana!. Msaada mkuu wa kwanza ni kumweleza wengi wanaomchagiza agombee 2025 ni wanamdanya!. Huu ndio msaada mkuu kwa Mama ni ushauri huu Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke ili ahakikishe vitu muhimu vyote anavilamilisha before October 2025!. Tunaendelea kumshauri Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
P

Mkuu JF ina watu wa aina mbalimbali kiasi kwamba - "one cannot fool them all for all the time."

Tumewaona watu wakiweka CV zao, simu zao nk halisi humu jamvini. Kwa minajili ipi?

Kuna mambo watu wamekuwa wakisakamwa nayo kama wajumbe kila zinapopita teuzi.

Kwamba mkuu umekuwa ukisema hautendewi haki, imekuwa kama brand yako kwa muda sasa. Kwanini iwe wewe tu mkuu?

Wapo wengi sana wanaoandika sana tu humu jamvini. Wangapi wanatupiwa madongo kama yenu?

Hadharani mama kasema huvinjari JF. Wapo waliotaka mambo sasa yabadilike kwa sababu tu mama hutembelea humu. Mengi yamesemwa na hata bila kukumbuka kuwa mama amekuwa akifurahi kuyaona mambo si kwa unafiki wake bali kwa uhalisia wake.

Pamoja na yote mkuu nikupongeze kwa kipande hiki cha CV ulichokiweka kuhusiana na hoja za mleta mada:

"Miongoni mwa Wazalendo hawa, yupo mwandishi mmoja wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, aliyesomea sheria, UDSM na LL.B yake ni hons, ambaye somo alilioongoza ni LW 100 la Katiba lililokuwa linafundishwa na Prof. Issa Shivji, akapiga A ya 100!, utadhani mtihani anatunga yeye!, na baada ya kuhitimu akaitupilia kabatini shahada yake na kuendelea na fani yake ya uandishi wa habari."

Unadhani kipande hicho kipo hapa kwa ajali ajali? Haiwezekani kuwa kipande hicho kinamhusu mtu? Haiwezekani kipande hiki ni mahsusi kwa mtoa teuzi?

Yote Tisa.

Hebu msome mleta mada between the lines. Unadhani mleta mada ni miongoni mwa wanaopendelea Katiba mpya sasa? Si kuwa amejikita kuonyesha kuwa wanaotaka katiba mpya ni wasomi wenye kutaka pesa tu kama fursa? Si kuwa huyu anajaribu kutafuta namna nyingine ya ku frustrate jitihada za kuipigania katiba mpya?

"Ikibidi atumie hata maharage makavu kama chambo kuwatega kunguru?"

Si kuwa hIzi ni jitihada zingine tu za kujaribu kuzuia mafuriko kwa mkono?

Katiba mpya ni jambo nyeti sana. Haipendezi linapofanyiwa mzaha au linapotaka kufanywa kuonekana kuwa ni fursa tu kama zingine.

Wito wangu tuweke maslahi ya taifa mbele. Tuweke uzalendo mbele. Tuipiganie katiba mpya kwa moyo badala ya kuendekeza upotashaji hata ikibidi kwa kujitolea.

Mleta mada anaonekana kuwa ni mpotoshaji wa wazi.
 
Back
Top Bottom