DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Uvccm watakubali sasa?Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.
Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.
Ahsante
Ao hawana Akili hawajitambui naomba Mama maswala muhimu tuawaachie wasomi kwanza Uvccm wengi hawaelewi hata umuhimu wa katiba.Uvccm watakubali sasa?
Nashauri yaandaliwe makundi mawili, la kwanza ni la wasomi vyeti na wasomi ajira, ambao wamesoma ili wapate ajira na kila wanachofanya kupitia usomi wao, watahitaji kulipwa ili kuisaidia nchi yao.Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.
Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.
Ahsante
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.

Nashauri yaandaliwe makundi mawili, la kwanza ni la wasomi vyeti na wasomi ajira, ambao wamesoma ili wapate ajira na kila wanachofanya kupitia usomi wao, watahitaji kulipwa ili kuisaidia nchi yao.
Kundi la pili ni la watu wa kawaida tuu ambao sio wasomi bali ni Wazalendo, wakwelina wa taifa lao, ambao wamefuta ujinga kwa kuelimika, hawa hawakusoma ili kupata ajira, hawa wamesoma ili tuu ili kelimika na wanaitumia bure elimu yao kulisaidia taifa lao bure, na hawahitaji malipo yoyote. Hawa wameisha anza kumsaidia Rais Samia kupata katiba mpya bora bila kuhitaji kulipwa chochote.
Miongoni mwa Wazalendo hawa, yupo mwandishi mmoja wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, aliyesomea sheria, UDSM na LL.B yake ni hons, ambaye somo alilioongoza ni LW 100 la Katiba lililokuwa linafundishwa na Prof. Issa Shivji, akapiga A ya 100!, utadhani mtihani anatunga yeye!, na baada ya kuhitimu akaitupilia kabatini shahada yake na kuendelea na fani yake ya uandishi wa habari.
Kwa sasa anafanya kazi ya uelimishaji umma kuhusu haki, sheria na katiba kupitia Kipindi cha TV kiitwacho "Kwa Maslahi ya Taifa" kikiandamana na makala magazetini na humu JF. Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni Nini, ya Nani, ya Kazi Gani?. Msemo "Katiba Ndio Kila Kitu" Una Maana Gani?. Katiba Ina Umuhimu Gani?
Hivyo wakati wasomi vyeti na wasomi ajira mkisubiria kulipwa ili mlisaidie taifa letu kupata katiba bora, sisi Wazalendo ambao sio wasomi, tunaendelea kulisaidia taifa letu bure.
Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani?
Wanabodi, Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977. Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki katiba na kujitolea kutoa bure elimu ya katiba...www.jamiiforums.com
Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
Wanabodi, Leo 30/12/2022 tunapoanza safari ya kuuaga mwaka 2022 hapo kesho na keshokutwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 hivyo naomba nianze makala yangu hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa kusema "kwaheri 2022, na Karibu 2023, kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2023 in advance, kwa rai moja tuu...www.jamiiforums.com
P
Huna elimu yoyote kuwazidi kina prof wajalalani waliobadilisha uelekeo baada yakurushiwa tu-mchele!! Saiv ukimuuliza yakatiba ataanza kufumuka maneno, kutoa macho na mate pembeni ya midomoMama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.
Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.
Ahsante
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.
Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.
Ahsante
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.
Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.
Ahsante
sio kwamba ufanye kama mzalendo sasa unataka fungu tenaMama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.
Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.
Ahsante
Mama wewe piga Blabla siku zako zipite katika ni kisiki kigumu Sana Pandora Box ukijichanganya huo ni Mziki Mnene.Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.
Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.
Ahsante
Toa utumbo wako hapa bwasheeMama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.
Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu yetu Bora tuliyonayo.
Ahsante
Tz ukiwa na elimu ya la 3b tayari you are educated bwasheeMtu anatumia vigezo gani kujiita msomi? Naomba tu maelekezo
Nashauri yaandaliwe makundi mawili, la kwanza ni la wasomi vyeti na wasomi ajira, ambao wamesoma ili wapate ajira na kila wanachofanya kupitia usomi wao, watahitaji kulipwa ili kuisaidia nchi yao.
Kundi la pili ni la watu wa kawaida tuu ambao sio wasomi bali ni Wazalendo, wakwelina wa taifa lao, ambao wamefuta ujinga kwa kuelimika, hawa hawakusoma ili kupata ajira, hawa wamesoma ili tuu ili kelimika na wanaitumia bure elimu yao kulisaidia taifa lao bure, na hawahitaji malipo yoyote. Hawa wameisha anza kumsaidia Rais Samia kupata katiba mpya bora bila kuhitaji kulipwa chochote.
Miongoni mwa Wazalendo hawa, yupo mwandishi mmoja wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, aliyesomea sheria, UDSM na LL.B yake ni hons, ambaye somo alilioongoza ni LW 100 la Katiba lililokuwa linafundishwa na Prof. Issa Shivji, akapiga A ya 100!, utadhani mtihani anatunga yeye!, na baada ya kuhitimu akaitupilia kabatini shahada yake na kuendelea na fani yake ya uandishi wa habari.
Kwa sasa anafanya kazi ya uelimishaji umma kuhusu haki, sheria na katiba kupitia Kipindi cha TV kiitwacho "Kwa Maslahi ya Taifa" kikiandamana na makala magazetini na humu JF. Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni Nini, ya Nani, ya Kazi Gani?. Msemo "Katiba Ndio Kila Kitu" Una Maana Gani?. Katiba Ina Umuhimu Gani?
Hivyo wakati wasomi vyeti na wasomi ajira mkisubiria kulipwa ili mlisaidie taifa letu kupata katiba bora, sisi Wazalendo ambao sio wasomi, tunaendelea kulisaidia taifa letu bure.
Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani?
Wanabodi, Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977. Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki katiba na kujitolea kutoa bure elimu ya katiba...www.jamiiforums.com
Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
Wanabodi, Leo 30/12/2022 tunapoanza safari ya kuuaga mwaka 2022 hapo kesho na keshokutwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 hivyo naomba nianze makala yangu hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa kusema "kwaheri 2022, na Karibu 2023, kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2023 in advance, kwa rai moja tuu...www.jamiiforums.com
P
Mkuu hakuna uzalendo katika Mambo muhimu unadhani kuingia mtaani kutafta maoni ni Rahisi ?