gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wewe si lolote,ufute usifute haibadilishi chochote,amka katafute rizki....nimeandika coment zaidi ya mara 10 nafuta. Nimebaki kunyamaza.
Wewe si lolote,ufute usifute haibadilishi chochote,amka katafute rizki....nimeandika coment zaidi ya mara 10 nafuta. Nimebaki kunyamaza.
Mnategemea vyombo vya dola kubaki madarakani? sio wananchi ni kweli Tume kuna kitu hakiko sawa kwenye ubongo wao unawezaje kusema mtu ameshinda kwa 98% na vurugu za uchaguzi zote zile?Mpunguze bange,mjue nchi ina vyombo vya dola
Unasalimiwa na Lucas MwashambwaMpunguze bange,mjue nchi ina vyombo vya dola
We nae kutwa washeli inakuwashaUnasalimiwa na Lucas Mwashambwa
Amesema uache kiherehere ili akuoe akukune kibwenye mpaka upagawe.
Na ukipagawa utadata.
Utamu wa Lucas hauna chama wala kabila.
Kwani asilimia hupatikana vipi we mbuzi?..msome,siyo kushinda kanisani tu kuimba kwaya na kusikiliza mahubiriMnategemea vyombo vya dola kubaki madarakani? sio wananchi ni kweli Tume kuna kitu hakiko sawa kwenye ubongo wao unawezaje kusema mtu ameshinda kwa 98% na vurugu za uchaguzi zote zile?
Sasa mimi nikiwa wewe utakua nini? Wewe endelea na Ukasuku wakoKwani asilimia hupatikana vipi we mbuzi?..msome,siyo kushinda kanisani tu kuimba kwaya na kusikiliza mahubiri
Asilimia hupatikana vipi?.. hesabu za darasa la tanoSasa mimi nikiwa wewe utakua nini? Wewe endelea na Ukasuku wako
Kwanza akuoe nani wewe jinamizi, utabaki hivyo hivyo na kibwenye chako kilichojaa uvundo.We nae kutwa washeli inakuwasha
Toka siku hii picha imepostiwa humu jf, alikimbia na kutelekeza account yake.Unasalimiwa na Lucas Mwashambwa
Amesema uache kiherehere ili akuoe akukune kibwenye mpaka upagawe.
Na ukipagawa utadata.
Utamu wa Lucas hauna chama wala kabila.
Usimjibu, muache nimuadabishe 😀😀Sasa mimi nikiwa wewe utakua nini? Wewe endelea na Ukasuku wako
😂😂😂😂😂😂😂😂Toka siku hii picha imepostiwa humu jf mseng*alikimbia na kutelekeza account yake.
Kuna member namlia timing, akijichanganya kujifanya anaisapot ccm nampost