Rais Samia kuhutubia na kufungua Bunge la 13, leo Ijumaa Novemba 14, 2025

Mpunguze bange,mjue nchi ina vyombo vya dola
Mnategemea vyombo vya dola kubaki madarakani? sio wananchi ni kweli Tume kuna kitu hakiko sawa kwenye ubongo wao unawezaje kusema mtu ameshinda kwa 98% na vurugu za uchaguzi zote zile?
 
Nimeona hapo kwenye taarifa ya hotuba kwamba itarushwa live kwenye mitandao ya kijamii nimejiuliza hii mitandao imekuwa ya.maana sana mbona huwa wanapiga pini
 
Mnategemea vyombo vya dola kubaki madarakani? sio wananchi ni kweli Tume kuna kitu hakiko sawa kwenye ubongo wao unawezaje kusema mtu ameshinda kwa 98% na vurugu za uchaguzi zote zile?
Kwani asilimia hupatikana vipi we mbuzi?..msome,siyo kushinda kanisani tu kuimba kwaya na kusikiliza mahubiri
 
We nae kutwa washeli inakuwasha
Kwanza akuoe nani wewe jinamizi, utabaki hivyo hivyo na kibwenye chako kilichojaa uvundo.

Ntamwambia Lucas asikuoe mjaa laana weye. Utaolewa na madudumizi menzako.

Mtu una laana lakini bado unatafutiwa Bwana halafu unaleta kisirani. Jinga sana.

Kazi kutukana tu mitandaoni, utaolewa na mitandao jinamizi wewe!

Roho chafu kama ya nduli.
 
Unasalimiwa na Lucas Mwashambwa

Amesema uache kiherehere ili akuoe akukune kibwenye mpaka upagawe.

Na ukipagawa utadata.

Utamu wa Lucas hauna chama wala kabila.
Toka siku hii picha imepostiwa humu jf, alikimbia na kutelekeza account yake.

Kuna member namlia timing, akijichanganya kujifanya anaisapot ccm nampost
 
Toka siku hii picha imepostiwa humu jf mseng*alikimbia na kutelekeza account yake.

Kuna member namlia timing, akijichanganya kujifanya anaisapot ccm nampost
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lucas ni mtumikizi wa parokia ya Kristo Mfalme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…