Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja.

Wamama wote hapo waliomzunguka Rais ama ni maafisa Usalama ama wanakonekshen na TISS kwa namna yyt.Sio rahisi mtu wa kawaida awe karibu hapo sasa nadhan mwanaume alikuwa hapo kuweka negative charge since all of them are positive.So area ikawa neutralized and calmπŸ˜‚πŸ˜‚

Mnaosema mwanaume hakutakiwa kuwa hapo mlitaka awe wap?Kwanza kapendeza ndan ya hijab nyeusi murua kabisa na yeye mwenyewe mweusi na amepiga na makeup yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja.
Maafisa usalama wa kike wana kazi gani Sasa.....ina maana Msikitini kuna usalama mdogo ukilinganisha na anapokuwa nje ya Msikiti. Pengine tunaweza kusema hii ni dharau Kwa walinzi wa kike au wanawake wanasemaje!?
 
Hakuna sababu yoyote yenye mashiko kuhusu hili. kwa iamni ya kikristo tumekatazwa kuvaa mavazi yampasayo mwamke. kama ni jambo la kawaida kama ulivyosema kwanini asingevaa kawaida tu ama akavaa kanzu?

Kama kulikuwa na tishio la kiusalama kulikuwa na ulazima gani yeye kwenda kwenye mkusanyiko wa wengi huku hali si shwari? kama imani zenu ni haba kwanini muende kuharibu utaratibu wa imani za wengine?
 
YISS kwa style iyo ni udhalilishaji,na ni hatari kwa usalama ikiwa Kuna sniper anaanza kuliwa kichwa
 
Labda upo sahihi.
Swalo ni je? Kwanini hakuvaa kanzu avae dera?
Usije sema kuvaa deara ni Sunna
 
Kama ni jambo la kawaida kulikua na ulazima Gani avae hijabu(disguise) kwanini asingevaa kanzu tu?
Hilo ni wazo lako, wenyewe walifikiria avae ushungi... Sijaona shida hapo.
 
Ila kapendeza halafu katulia tuli unaweza mposa Kama hujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…