Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

Swali chokozi jiulize tu pale uwanja wa taifa katika wale makomandoo ushawahi ONA Mwanamke ameshiriki kufanya zile mbwembwe za kubebeshwa magogo ya Mnazi na kulala juu ya Misumali alafu unapigwa na nyundo kifuani kupasua tofali la zege? Km hujawahi kuona basi Jibu unalo

Ushawahi ONA komandoo Mwanamke kwenye zile sherehe za Uhuru?
Kama ni dhana ya komando bahati mbaya zaidi Tanzania hatuna makomando wa kike.
 
Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja.

Tujiepushe na mihemko isiyo na tija na badala yake tufikirie suluhisho zinazojenga na kuheshimu maadili ya jamii husika na kuhakikisha usalama na utulivu wa Rais.

Katika Quran, hakuna aya inayosema moja kwa moja kuwa ni marufuku kwa mwanaume kuingia sehemu ya wanawake msikitini. hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) pamoja na mila na desturi za Kiislamu. Kwa mfano, katika hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W), kuna maelekezo yanayohimiza heshima na mipaka baina ya wanaume na wanawake wakati wa ibada ili kuepusha fitna na kudumisha heshima.( kuepusha matamanio ya kimapenzi ndani ya ibada. )

Ibn 'Umar aliripoti kwamba Mtume Muhammad (S.A.W) alisema, "Usiwazuie wanawake wa Allah kwenda kwenye misikiti ya Allah" (Sahih Muslim, Kitabu 4, Hadithi 891). Hadithi hii inaonyesha kwamba wanawake wanaruhusiwa kwenda msikitini, lakini haina amri maalum kuhusu maeneo maalum ndani ya msikiti. Kwa hiyo, mpangilio wa ndani wa msikiti kuhusu maeneo ya wanawake na wanaume unaweza kutegemea mila, desturi, na mantiki za kiutawala za msikiti huo na siyo tamko la S. A. W.

Katika mazingira ambapo kuna haja ya kuwepo na walinzi wa kiume kwa sababu za kiusalama, ni kwamba tunahakikisha hatua hizi zinachukuliwa kwa njia inayoheshimu mipaka ya kijinsia na dini, kulinda usalama bila kuvuruga utulivu wa ibada.( na hiki ndo amefanya RAIS SSH wa JMT)

Mtazamo huu unategemea hadithi kama ile inayosimuliwa na Umm Atiyyah, ambaye alisema kwamba wanawake waliokuwa kwenye hedhi waliambiwa wakae mbali na mahali pa kusalia/swalia wakati wa sala za Eid (imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim)

Surah Al-Baqarah (2:222), "Wanakuuliza habari ya hedhi. Sema: Huu ni unajisi. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi, wala msiwakaribie mpaka watwahare.( Tusilaumu sana yawezekana mlinzi wa kike alikuwa kwenye Surah Al-Baqarah 2:222 ).

Pia soma: Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?
Ngoja tusikilizie tamko la Shekhe Kundecha and Co 🤣🤣🤣
 
Baada ya Mtume Muhammad SAW tumeambia anafuatia nani!??

Naona chawa mnataka kubadili taratibu za Imani ya dini ya Kiislam duniani Kwa ajili ya mama tu. Hongereni
 
What is the https://jamii.app/JFUserGuide bro! Kwanini avae mavazi ya kike? Kwanini asingebski na muonekano wa kiume? Kwanini kuficha! Si nyumba ya Allah, anaona kila kitu, kwanini hila sasa! Kulikuwa na haja gani, ya kuuficha umma kwamba mlinzi, mmoja wapo ni Dume!?
Kipindi Fulani Diamond aliimba wimbo, akatsja neon"hallelujah "kwa jinsi wa Islam walivyomjia juu kwamba ameutusi uislam, niliona kweli majority muslim are stupid!
Ila hutasikia wakimsema Zuchu jinsi anavyozinishwa na mond bila ndoa, Ila mwezi wa Ramadan anatinga msikitini kama ka maraika vile!
 
Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja.

Tujiepushe na mihemko isiyo na tija na badala yake tufikirie suluhisho zinazojenga na kuheshimu maadili ya jamii husika na kuhakikisha usalama na utulivu wa Rais.

Katika Quran, hakuna aya inayosema moja kwa moja kuwa ni marufuku kwa mwanaume kuingia sehemu ya wanawake msikitini. hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) pamoja na mila na desturi za Kiislamu. Kwa mfano, katika hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W), kuna maelekezo yanayohimiza heshima na mipaka baina ya wanaume na wanawake wakati wa ibada ili kuepusha fitna na kudumisha heshima.( kuepusha matamanio ya kimapenzi ndani ya ibada. )

Ibn 'Umar aliripoti kwamba Mtume Muhammad (S.A.W) alisema, "Usiwazuie wanawake wa Allah kwenda kwenye misikiti ya Allah" (Sahih Muslim, Kitabu 4, Hadithi 891). Hadithi hii inaonyesha kwamba wanawake wanaruhusiwa kwenda msikitini, lakini haina amri maalum kuhusu maeneo maalum ndani ya msikiti. Kwa hiyo, mpangilio wa ndani wa msikiti kuhusu maeneo ya wanawake na wanaume unaweza kutegemea mila, desturi, na mantiki za kiutawala za msikiti huo na siyo tamko la S. A. W.

Katika mazingira ambapo kuna haja ya kuwepo na walinzi wa kiume kwa sababu za kiusalama, ni kwamba tunahakikisha hatua hizi zinachukuliwa kwa njia inayoheshimu mipaka ya kijinsia na dini, kulinda usalama bila kuvuruga utulivu wa ibada.( na hiki ndo amefanya RAIS SSH wa JMT)

Mtazamo huu unategemea hadithi kama ile inayosimuliwa na Umm Atiyyah, ambaye alisema kwamba wanawake waliokuwa kwenye hedhi waliambiwa wakae mbali na mahali pa kusalia/swalia wakati wa sala za Eid (imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim)

Surah Al-Baqarah (2:222), "Wanakuuliza habari ya hedhi. Sema: Huu ni unajisi. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi, wala msiwakaribie mpaka watwahare.( Tusilaumu sana yawezekana mlinzi wa kike alikuwa kwenye Surah Al-Baqarah 2:222 ).

Pia soma: Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?
Wewe hujielewi yaani ni sawa mwanaume kuvaa hijab na kijifanya mwanamke na kuingia msikitini kweli??
 
Acheni kulazimisha kuingiza madaraka yenu kwenye nyumba za ibada. Kwani ni lazima aswalie huko msikitini wakati mnaona hakuna usalama?

Sio bure wazungu wanatuita manyani. Mnasema anakubalika, lakini anapewa ulinzi kama kaingia madarakani kwa kupindua nchi. Cha ajabu akienda kwenye nchi ambazo Wala Hana hata kura Moja Hana ulinzi wa aina hiyo! Acheni kusaka sifa za kijinga.
Dogo usilazimishe kufifkiri unayajua yote. Urais wa nchi sio sawa na Urais wa Wasafi! Ahahahahaha!!!
 
Swali chokozi jiulize tu pale uwanja wa taifa katika wale makomandoo ushawahi ONA Mwanamke ameshiriki kufanya zile mbwembwe za kubebeshwa magogo ya Mnazi na kulala juu ya Misumali alafu unapigwa na nyundo kifuani kupasua tofali la zege? Km hujawahi kuona basi Jibu unalo

Ushawahi ONA komandoo Mwanamke kwenye zile sherehe za Uhuru?
Makomandoo Wanawake ni Wengi tu wengine walibeba jeneza la Mzee ruksa kama ulikuwa makini kule kaburini 🐼

Nakubaliana na mleta mada Hakuna sehemu Quran imekataza Wanaume na Wanawake kuchanganyika!
 
Jisemee uache mihemko sio tuache.usitumie wingi wakati mwenye shida ni wewe.Watu hawajatumia mihemko ila wameona sio sawa na haikua na ulazima kuhadaa.
 
Sasa si angeingia tu, hilo dela la nini? kumdanganya nani? Je tukihoji ndani ya dela mlimvalisha nn mtasema tunavuka mipaka?
 
Mkiambiwa hii dini ni abrakadabra tu muwe mnaelewa badala ya kuja na mapovu. Hakuna utakatifu hapo na wala Mungu hayupo hapo, hiyo ni mipangilio ya wanadamu tu wala hakuna dhambi mlinzi huyo wa kiume kuingia sehemu hiyo ya wanawake kuswaliia. Labda kwa heshima na mila zetu za kiafrika tu ndio hairuhusiwi kuingiliana sehemu za faragha za jinsia tofauti
 
Assalamu 'alaikum. Kwa mujibu wa mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.), wanaume na wanawake wanasali katika sehemu tofauti wakati wa ibada katika msikiti. Hii ni kwa sababu ya mambo ya utaratibu na adabu katika ibada.

Kuhusu mavazi, Mtume (s.a.w.) ameamuru wanaume wavae kanzu au nguo ndefu zinazofunika kiganja na magoti. Wanawake wamekwishaelekezwa kuvaa hijab, yaani kufunika vichwa, nyuso na mabega yao wakati wa ibada. Hii ni kwa ajili ya heshima na adabu katika kuabudu.

Hivyo basi, wanaume na wanawake wanasali katika sehemu tofauti, na wanaume wanavaa kanzu au nguo ndefu wakati wa ibada, wakati wanawake wanavaa hijab. Haya ni mafundisho yaliyotolewa na Mtume Muhammad (s.a.w.) kwa ajili ya uadilifu na utaratibu wa ibada.
Hivi pale Maka huwa hamsali naona wote mpo pamoja, wake kwa waume
 
Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja.

Tujiepushe na mihemko isiyo na tija na badala yake tufikirie suluhisho zinazojenga na kuheshimu maadili ya jamii husika na kuhakikisha usalama na utulivu wa Rais.

Katika Quran, hakuna aya inayosema moja kwa moja kuwa ni marufuku kwa mwanaume kuingia sehemu ya wanawake msikitini. hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) pamoja na mila na desturi za Kiislamu. Kwa mfano, katika hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W), kuna maelekezo yanayohimiza heshima na mipaka baina ya wanaume na wanawake wakati wa ibada ili kuepusha fitna na kudumisha heshima.( kuepusha matamanio ya kimapenzi ndani ya ibada. )

Ibn 'Umar aliripoti kwamba Mtume Muhammad (S.A.W) alisema, "Usiwazuie wanawake wa Allah kwenda kwenye misikiti ya Allah" (Sahih Muslim, Kitabu 4, Hadithi 891). Hadithi hii inaonyesha kwamba wanawake wanaruhusiwa kwenda msikitini, lakini haina amri maalum kuhusu maeneo maalum ndani ya msikiti. Kwa hiyo, mpangilio wa ndani wa msikiti kuhusu maeneo ya wanawake na wanaume unaweza kutegemea mila, desturi, na mantiki za kiutawala za msikiti huo na siyo tamko la S. A. W.

Katika mazingira ambapo kuna haja ya kuwepo na walinzi wa kiume kwa sababu za kiusalama, ni kwamba tunahakikisha hatua hizi zinachukuliwa kwa njia inayoheshimu mipaka ya kijinsia na dini, kulinda usalama bila kuvuruga utulivu wa ibada.( na hiki ndo amefanya RAIS SSH wa JMT)

Mtazamo huu unategemea hadithi kama ile inayosimuliwa na Umm Atiyyah, ambaye alisema kwamba wanawake waliokuwa kwenye hedhi waliambiwa wakae mbali na mahali pa kusalia/swalia wakati wa sala za Eid (imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim)

Surah Al-Baqarah (2:222), "Wanakuuliza habari ya hedhi. Sema: Huu ni unajisi. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi, wala msiwakaribie mpaka watwahare.( Tusilaumu sana yawezekana mlinzi wa kike alikuwa kwenye Surah Al-Baqarah 2:222 ).

Pia soma: Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?
Uislamu wa ki-digitali, dume kati ya wa-mama🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna uthibitisho unaoonesha huyo ni mwanaume. Na hamna ulazima wa kuingia na mwanaume kwenye nyumba ya ibada upande wa wanawake. Rais analindwa na Mungu tu, hizo nyingine ni mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom