stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 40,702 Reaction score 41,213 Jul 25, 2025 #41 Mlandege said: mjanja sana anajua haiwezekani🤣 Click to expand... inawezekana na pesa inatokana na zawadi ya CAF, mshindi anapewa bil 9.8
Mlandege said: mjanja sana anajua haiwezekani🤣 Click to expand... inawezekana na pesa inatokana na zawadi ya CAF, mshindi anapewa bil 9.8
A Animal Farm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 975 Reaction score 1,146 Aug 2, 2025 #42 Ages11 said: Hizo fedha anazogawa makanisani na kwenye timu za michezo anatoa wapi huyo mama?. Click to expand... Umeuliza swali nzuri sana! Nchi ya hovyo sana hii!
Ages11 said: Hizo fedha anazogawa makanisani na kwenye timu za michezo anatoa wapi huyo mama?. Click to expand... Umeuliza swali nzuri sana! Nchi ya hovyo sana hii!
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Aug 2, 2025 #43 Numbisa said: Bahati nzuri hawaubebi Click to expand... Binafsi nimejipanga kuhakikisha Taifa Stars hawabebi kombe
Numbisa said: Bahati nzuri hawaubebi Click to expand... Binafsi nimejipanga kuhakikisha Taifa Stars hawabebi kombe