Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa Rais Samia amesema ni kweli serikali hii ina madeni lakini watu wasiishie tu kusema hivyo, bali waseme pia kwenye uchambuzi madeni hayo yamefanya nini. Akiongeza kuwa serikali ikifanya vizuri watu wasisite pia kusema kuwa serikali sehemu fulani imefanya vizuri.
Amesema "Kuisema tu Serikali ina madeni, atakuja mwenye Serikali yake na yeye aje akusute, matokeo yake mtaishia kurushiana maneno ya kashfa."
Amesema "Kuisema tu Serikali ina madeni, atakuja mwenye Serikali yake na yeye aje akusute, matokeo yake mtaishia kurushiana maneno ya kashfa."