Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
So what? Naive statement, the bottom line, aseme why is it necessary kukopa, justification tu ya kukopa, uwezo wa kulipaAkiwa kwenye mkutano na Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa Rais Samia amesema ni kweli serikali hii ina madeni lakini watu wasiishie tu kusema hivyo, bali waseme pia kwenye uchambuzi madeni hayo yamefanya nini. Akiongeza kuwa serikali ikifanya vizuri watu wasisite pia kusema kuwa serikali sehemu fulani imefanya vizuri.
Amesema "Kuisema tu Serikali ina madeni, atakuja mwenye Serikali yake na yeye aje akusute, matokeo yake mtaishia kurushiana maneno ya kashfa."
Asante kwa muongozo huu.mama kanyaga twende tumecheleweshwa mnooo kama taifa.Tunafahamu Dr Samia.
- Unajenga Reli Morogoro kwenda Dodom-Singida-Tabora-Shinyanga-Mwanza. Pia Tabora kwenda Kigoma.
SHULE za kata zote zimepata madarasa Kuanzia nane mpaka kumi (kwenye kata Covid manne na sasa kumi)
- Vijijini visima vya maji vinajengwa.
- Vituo vya afya kila tarafa na kila kata.
- Barabara Vijijini zinafanyiwa ukarabati na nyingine zinatengenezwa.
-Ajira majeshini, sekta za afya,Elimu
-Miradi ya mtangulizi wako yote unaikamilisha hakuna ulioukacha.
Piga kazi Mama Samia
Duhh! Anatumia nguvu kubwa kuhalalisha madeni.
ni sawa na kutetea gongo kuwa inasomesha watoto na kununua mahitaji ya familia.