Rais Samia kukopa(tena) 1billion USD from IMF

Tatizo sio kuongeza VAT ina maana watu million 50 tu ukikusanya kodi kikamilifu toka kwao hayo maendeleo hutayafanya?

Sisi tuna rasilimali watu wengi tu ambao kodi zao katika huduma na bidhaa wanazo access kila siku zikikusanywa kikamilifu hii nchi haiwezi kuwa fukara kwa kiwango tulichonacho.

Tatizo la taifa hili ni unafiki na usaliti. Kati ya 50M people kundi linalokusanywa kodi kikamilifu halizidi watu 3M kati yao wakiwemo wafanya biashara wadogo na watumishi, wakulima pamoja na wafugaji.
Hapa ndio umepatia penye tatizo kubwa, kuna watu wengi sana hawalipi kodi nchi hii na watu pekee rahisi kulipa kodi ni wafanyakazi na wakulima wengi hawachangii kitu kabisa. Hii ndio sehemu serikali ilitakiwa itafute watu wawasaidie jinsi ya kuweza kuongeza watu kulipa kodi pamoja na biashara zisizo rasmi, Shida kodi ikiwafikia mpaka watu wa chini utaanza kusikia vilio kila kitu kodi mtatumaliza lakini kodi sio kila lazima alipe mamia kuna watu watalipa hata sh 50 lakini kila mtu alipe katika kile anachofanya haijalishi boda, mama ntilie sijui nani kodi kila mtu mpaka muuza chips.
 
Ni kweli kabisa Kodi ya mapato pamoja na ya VAT. Hili zoezi ni zuri ila lina ugumu sana kwa raia wengi wa kawaida sababu viongozi na wawakilishi wa TRA wamefumbia macho changamoto zake.

Kwanza ishu ya elimu wa umuhimu wa kodi ila pia uaminifu na transparency ya hao Tax collectors. Changamoto ya elimu ipo kwa kundi flani la watu ambao hawajui umuhimu wa kuchangia kodi na manufaa yake ila pia kwa wenye elimu hio hawashawiki kukusanya kodi hizo sababu hakuna transparency na uaminifu katika wale wenye mamlaka ya kukusanya na ku manage hayo mapato. Tumeshuhudia several cases za uhujumu wa mapato ambazo ni majasho ya wananchi kuchezewa hovyo.

Trust me, hata watu wakichangia buku buku tu watu 30M tu ambayo ni 50% ya raia wote ikawa inakusanywa kwa ukamilifu kila mwezi kuna impact zaidi kuliko billion 1 ya matajiri 10.
 
Hiyo VAT sasa unadhani hizo huduma zote zinatoka wapi? sasa kama unaona kukopa hutaki kuna mawili tax ziongezwe na zikiongezwa kelele kuna njia nyingi za kufidia moja ni mikopo kwa ajili ya maendeleo anayelipa ni serikali kwenye mapato yake wewe VAT yako bado 15% malalamiko kama serikali ingekuja kusema unajuwa tumekopa ili kulipa VAT iwe 20% hapo watu wangelia ila wewe hujaongeza unachochangia still 15% sasa kilio cha nini?
VAT imekuwa 15% lini tena?

Ila kama VAT ikiwa administered vizuri kwakweli inaweza kuleta matokeo chanya sana.
 
Hapa ndio umepatia penye tatizo kubwa, kuna watu wengi sana hawalipi kodi nchi hii na watu pekee rahisi kulipa kodi ni wafanyakazi na wakulima wengi hawachangii kitu kabisa. Hii ndio sehemu serikali ilitakiwa itafute watu wawasaidie jinsi ya kuweza kuongeza watu kulipa kodi pamoja na biashara zisizo rasmi, Shida kodi ikiwafikia mpaka watu wa chini utaanza kusikia vilio kila kitu kodi mtatumaliza lakini kodi sio kila lazima alipe mamia kuna watu watalipa hata sh 50 lakini kila mtu alipe katika kile anachofanya haijalishi boda, mama ntilie sijui nani kodi kila mtu mpaka muuza chips.
Hebu imagine tozo zinazokusanywa ukiziangalia tu kwa umakini utagundua zinaweza exceed 30Billion kila mwezi in accordance to active users wa hizi mobile money services. Japo serikali imeamua kulifanya ni kama jambo la siri ila ni hela nyingi wanaipata huko toka kwa raia. 120B kila mwaka ingefanya mambo mangapi ya maana kwa taifa? Ila utakuta hela zinaishia kwenye matumizi ya hovyo na kulipana posho za kjinga na per diem.

Atleast kila mtu anaweza fanya muamala mmoja wa simu wenye charges kati ya 1000-10000. Hebu jiulize how many active phone users?

Kungekuwa na transaparency ingesaidia sana tukawa tunaona kuwa tozo za kila mwezi ni bei gani? Hazisemwi kabisa wakati ukimwambia mtu bana huu mwaka tumekusanya tozo billion kadhaa. Tutazielekezea mahala flani ikatatue kabisa tatizo fulani. Wananchi wanapata unafuu wa maisha na moyo wa kuchangia zaidi.
 
Ni kweli kabisa Kodi ya mapato pamoja na ya VAT. Hili zoezi ni zuri ila lina ugumu sana kwa raia wengi wa kawaida sababu viongozi na wawakilishi wa TRA wamefumbia macho changamoto zake.

Kwanza ishu ya elimu wa umuhimu wa kodi ila pia uaminifu na transparency ya hao Tax collectors. Changamoto ya elimu ipo kwa kundi flani la watu ambao hawajui umuhimu wa kuchangia kodi na manufaa yake ila pia kwa wenye elimu hio hawashawiki kukusanya kodi hizo sababu hakuna transparency na uaminifu katika wale wenye mamlaka ya kukusanya na ku manage hayo mapato. Tumeshuhudia several cases za uhujumu wa mapato ambazo ni majasho ya wananchi kuchezewa hovyo.

Trust me, hata watu wakichangia buku buku tu watu 30M tu ambayo ni 50% ya raia wote ikawa inakusanywa kwa ukamilifu kila mwezi kuna impact zaidi kuliko billion 1 ya matajiri 10.
Hili jambo linahitaji mjadala wa kitaalamu sana maana leo kwa kiasi kikubwa utasikia watu wamefurahi sababu wamepata nyongeza lakini tukumbuke ni asilimia ndogo sana wafanyakazi wa umma hili halitawagusa. Je wafanyakazi wa umma wanalipwa na pesa ya nani? walipa kodi, sio mbaya lakini kwa mlipa kodi atakachotegemea kwa huyu mfanyakazi ni ufanisi zaidi hili litamridhisha mlipa kodi shida wanayakazi wengi wa umma hawajielewi au hawataki kujuwa kuwa mwananchi ndio kwa namna moja anakulipa wewe ili umpe huduma bora lakini utaenda ofisi za serikali wewe mwananchi ndio utanyenyekea kama unaomba msaada badala ya kuhudumiwa. Hospital unamuomba Dr, Nurse ukienda Immigration unaomba kwa unyenyekevu kila sehemu wewe unaomba tu, wafanyakazi wanageuka miungu watu sio wote ila wengi. Hapa ndio penye tatizo kubwa ifike siku mtumishi wa umma jina hili liendane na vitendo hapo watu watalipa na kodi. Rais akichukuwa mikopo nje utasikia sisi wananchi ndio tutalipa, ni kweli lakini pia nyongeza zao sisi wananchi ndio tunalipa.
 
Hakika watumishi hawajui purpose yao kazini
 
VAT imekuwa 15% lini tena?

Ila kama VAT ikiwa administered vizuri kwakweli inaweza kuleta matokeo chanya sana.
Ni 18% ndio maana tunaambiwa tuchukuwe risiti elect kwa wafanya biashara wajanja. utaenda kununua kitu utasikia ukitaka bila risiti no vat mtu anakubali hiyo ipo sana tu
 
Back
Top Bottom