ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Marehemu aliishajianda kuvifuta kupitia bungedemka, ili atawale milele. Alipodhani kashinda alijikuta kafutwa yeye. Yamebaki masalia pamoja na kuwa na ubishi kama kutu, ni swala muda tu YATAFUTIKA.Nyie mambumbumbu hamjui hii nchi ni ya kidemokrasia na vyama vingi vipo kikatiba.
Sijui mna akili au ukoko kichwani?
Amani ya nchi ni majadiliano si kutishana.