Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.

Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.

Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.

Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.

Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
Pimbi wa kijani kibichi empty head tabulalasa on fleek .
 
MATAGA mtataga mpaka yai la Nyangumi mwaka huu. Na Corona ndiyo kiboko yenu. Bila Corona tungeendelea kuteseka mno. Mungu ni fundi MKUBWA mno.
 
Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.

Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.

Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.

Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.

Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
Ujinga wako unakaribia wa jpm.
 
Wewe inakuuma kwasababu zako bonafsi. Unaona mama anamkosoa jiwe kwa matendo ,,hicho ndicho kinachokuuma. Mama hayuko na roho kama yako.
Sisi wazalendo halisi na wajamaa tunasema HONGERA SANA MAMA SAMIA kwa moyo wako wa kiungwana wa kumaliza chuki zilizokuwa zimeanza kuota mizizi miongoni mwa watanzania.
Watanzania walifikia kifo cha mtu kukisherehekea barabarani(Mbeya kuna jamaa walikamatwa na polisi wanakunywa pombe na kula mbuzi barabarani kusherehekea msiba)

Upendo baina yetu na amani na furaha vinarudi kwa kasi ya ajabu.

Mmebaki wachache ambao nanyi naamini mtakuja kujiunga kwenye team ya furaha.

HONGERA SANA RAIS MAMA SAMIA

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zetu watanganyika huu ndiyo mwanzo wa kufaidi ustaarabu wa wanzanzibari . Yajao yanafurahisha.
 
Kawaida nyie mnaojifanyaga wazalendo ndio wanafiki wakubwa
 
Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.

Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.

Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.

Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.

Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
nchi hii tuna matahira wengi
 
Mimi toka wabunge wao wanunuliwe Kama njugu sina imani nao tena, imejaa watu ambayo hawaamini wanachosimamia, in short wasaka fursa tu.
 
Kama kununuliwa kulikuwepo, huo ni udhaufu mkubwa wa chama cha siasa kuandaa wawakilishi wake wanaoweza kununulika. Kama ni kweli fanyieni kazi udhaifu huo kwa kuimarisha uongozi na mfumo wa uendeshaji wa chama.
 
Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.

Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.

Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.

Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.

Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.

Muda wenu umeshapita, Mungu mwenye huruma ameukatisha. Mwache mama Samia mwenye hofu ya kweli ya Mungu afanye kazi yake. Wewe na roho yako mbaya tulia watu wafanye kazi waliyotumwa na Mungu. Hao walioko CDM ni Watanzania pia na Rais wao ni huyu huyu mama Samia.
 
Back
Top Bottom