Puppy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,995
- 2,513
Mafedhuli hao nao ni wananchi, nao ni Watanzania. Rais ni wa kwao wote.Nchi kupona ndio kucheka na mafedhuli?
Tulia Mama ajenge familia mzee. Au wewe unasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafedhuli hao nao ni wananchi, nao ni Watanzania. Rais ni wa kwao wote.Nchi kupona ndio kucheka na mafedhuli?
Kweli?Uzalendo=Nationalism
Nyie mambumbumbu hamjui hii nchi ni ya kidemokrasia na vyama vingi vipo kikatiba.Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
Hivi wewe utaendekeza chuki za kiitikadi mpaka lini? Wenzio wanapotaka kuleta mwafaka na amani ya kweli ya kitaifa wewe roho inakuuma. Hata hivyo huna madhara maana wenye maamuzi wameshamaliza. Utabaki na roho yako ya korosho na itakuathiri mwenyewe!!!Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
Sijui tukuweke kundi gani? Ila elewa alie kuwa ana tumia ubabe kuliko demokrasia amesha enda zake. Na haijulikani amewekwa upande gani.Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
Ingekuwa Rais ana upeo mdogo kama wa kwako, angeweza kupoteza muda kufikiria ushauri wako. Lakini kwa sababu Mh. Samia ni mwenye akili timamu, hawezi kuwa na muda hata wa kusoma hii takataka uliyoiweka hapa.Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
Bado anaishi kwenye fikira za diktetaYatima hadeki ndugu yangu kwahiyo kubali tu kuwa mambo yamebadilika sanana nchi imepona.
Hongera mama yetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Sasa hivi, kuwa mjinga, kuwa mtu wa ndiyoooo, mnafiki, mpiga vigelegele kushangilia watawala, ndiyo uzalendo.Kwako uzalendo ni nini mkuu?
1. Mtu akikushauri usinunue ndege bila kujenga mfumo imara wa kuziendesha ukamkatalia simply kwa kuwa hazina iko chini yako ukanunua alafu ukaanza kupost hasara ya bilions kila mwaka na kwa kujua ubishi wako umekuponza ukadanganya na kujipa gawio akikucheka na kukudhihaki nani anakuwa sio mzalendo hapo? Kumbuka katika hela ulizonunulia hizo ndege hata yeye alichangia kwa kodi yake.
2. Bila kujali kafanya nini, kumpiga mwenzako risasi 30 kwa bunduki ya kivita kwa sababu tu mmepishana mawazo alafu aka savaivu kw shida shida huku ukizuia upatikanaji wa tiba yake wala ndugu na rafiki zake kumuombea dua apone, hii ndio definition ya uzalendo halisi kwako?
3. Unasema Chadema imejaa wanasiasa wanaojali matumbo yao, well, hivi umepitia ripoti ya CAG ambae ni mtu wako kabisa uliyemchagua kutoka katika kundi lako! umeona sehemu yoyote katika hela za serekali zimeliwa na matumbo ya walio CCM au Chadema?
4. Aliyezuia na kuvuruga masoko ya korosho na mazao mengine na kusababisha maisha ya watanzania mamilioni kuvurugika kabisa nii Chadema? Uzalendo kwako maana yake nini kwani Boss?
Uzalendo=Nationalism
Umejaa upepo kwa kuwa uliowahesabu watoto wa kambo sasa mnachukuliwa sawa! Unahisi unapoteza umaarufu wako sio?? Pole kwa roho ya korosho.Mbwa koko kaa kimya.
Nenda kwenye kaburi la dhalimu umuulize kwanini aliachana na mradi wa gas akaamua kuanzisha umeme wa maji. Atakueleza vizuri ni chama gani kiliuza hiyo gas dogo.Unamaanisha nini?
Kibaraka wa madikteta weweHiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
We endelea kununa,SSH anaimani nao,ndio maana anakutana nao.Chadema sio wa kuwachekea.
Usikonde hao Chadema watafunikwa na Chauma kwenye huo mkutano [emoji23][emoji23][emoji23]Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.