Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UlichosomaUmeandika nini?
Wakukutima kuuwa watu na kupiga risasi kafa yeye.mama hatumi kuuwa watu anamuogopa Mungu haswa. Si Kama lile Marehemu lilivyokuwa linafiki mchana kanisani usiku unauwa Lililowafundisha UZALENDO wa kipumbavu. Mama mchana msikitini na usiku msikitini.Chadema sio wa kuwachekea.
Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Amesahau kuwa mama alisema na akarudia kuwa huu siyo wakati wa kutazama yaliyopita, bali ni wakati wa kuponya majeraha na kutazama mbele kwa matumaini. Kumbuka pia mleta mada agenda nyingi zilizotekelezwa na watawala wako ziliasisiwa na wapinzani ikiwemo elimu bure. Wapinzani ni think tank la nchi. Ndiyo maana mama anawahitaji.Kwako uzalendo ni nini mkuu?
1. Mtu akikushauri usinunue ndege bila kujenga mfumo imara wa kuziendesha ukamkatalia simply kwa kuwa hazina iko chini yako ukanunua alafu ukaanza kupost hasara ya bilions kila mwaka na kwa kujua ubishi wako umekuponza ukadanganya na kujipa gawio akikucheka na kukudhihaki nani anakuwa sio mzalendo hapo? Kumbuka katika hela ulizonunulia hizo ndege hata yeye alichangia kwa kodi yake.
2. Bila kujali kafanya nini, kumpiga mwenzako risasi 30 kwa bunduki ya kivita kwa sababu tu mmepishana mawazo alafu aka savaivu kw shida shida huku ukizuia upatikanaji wa tiba yake wala ndugu na rafiki zake kumuombea dua apone, hii ndio definition ya uzalendo halisi kwako?
3. Unasema Chadema imejaa wanasiasa wanaojali matumbo yao, well, hivi umepitia ripoti ya CAG ambae ni mtu wako kabisa uliyemchagua kutoka katika kundi lako! umeona sehemu yoyote katika hela za serekali zimeliwa na matumbo ya walio CCM au Chadema?
4. Aliyezuia na kuvuruga masoko ya korosho na mazao mengine na kusababisha maisha ya watanzania mamilioni kuvurugika kabisa nii Chadema? Uzalendo kwako maana yake nini kwani Boss?
Hayooooo,, yameachwa kwenye mataa, Meko has had kicked the bucket! Kwisha habari yake na udigiteta wake!!Boss Chadema sio wazelendo hawafai.
Rais anashughulika na watu waliochongea ndege kukamatwa? Waliofurahi watu wafe kwa korona? Hii sio sawa.
Kama ccm mlilivyotetea interest ya Gas, hatimaye yule dhalimu akasema Gas yetu imeuzwa na wajanja.Dogo, tunahitaji vyama ambavyo vinatetea interest za taifa letu. Hayo mengine ni porojo zako tu.
Wewe na Kinuju kifo cha Dikteta kimewakosesha fursa za upigaji mlizokuwa nazo, poleni sana.Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
PatriotismHivi uzalendo kwa lugha ya kiingereza ni nini?
Utaifa=nationalismUzalendo=Nationalism
Poleni sana, kazi ya Mungu haina makosa.