G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Nimemshauri aunge juhudi mkono!Huna hata hio chembe ya uzalendo
Na Sina shaka kwamba hujui uzalendo Ni Nini ?
Ikikuuma nenda chato kamsemee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemshauri aunge juhudi mkono!Huna hata hio chembe ya uzalendo
Na Sina shaka kwamba hujui uzalendo Ni Nini ?
Ikikuuma nenda chato kamsemee
Aunge juhudi kwa kwenda kule jamuhuri ya malaika?Nimemshauri aunge juhudi mkono!
Pimbi wa kijani kibichi empty head tabulalasa on fleek .Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
MATAGA mtataga mpaka yai la Nyangumi mwaka huu. Na Corona ndiyo kiboko yenu. Bila Corona tungeendelea kuteseka mno. Mungu ni fundi MKUBWA mno.Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
Kwa hiyo sasa liko wapi? Hatulioni tena.JPM Alikuwa ni Jiwe walilokataa waashi ,
Ujinga wako unakaribia wa jpm.Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
Mwenzenu wa Burigi pamoja na miguvu ya wale 1oo wa Gamboshi, kawashindwa. Jaribuni kumleta na Lucifer mwenyeweChadema sio wa kuwachekea.
Uzalendo=patriotismUzalendo=Nationalism
nchi hii tuna matahira wengiHiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.
Kama kununuliwa kulikuwepo, huo ni udhaufu mkubwa wa chama cha siasa kuandaa wawakilishi wake wanaoweza kununulika. Kama ni kweli fanyieni kazi udhaifu huo kwa kuimarisha uongozi na mfumo wa uendeshaji wa chama.Mimi toka wabunge wao wanunuliwe Kama njugu sina imani nao tena, imejaa watu ambayo hawaamini wanachosimamia, in short wasaka fursa tu.
Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.