Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

Nyie mambumbumbu hamjui hii nchi ni ya kidemokrasia na vyama vingi vipo kikatiba.
Sijui mna akili au ukoko kichwani?

Amani ya nchi ni majadiliano si kutishana.
Marehemu aliishajianda kuvifuta kupitia bungedemka, ili atawale milele. Alipodhani kashinda alijikuta kafutwa yeye. Yamebaki masalia pamoja na kuwa na ubishi kama kutu, ni swala muda tu YATAFUTIKA.
 
Ngoja tumwache Mama afanye anavyoona ni sahihi kwake, lakini ajue sisi CCM kindakindaki hatufurahii.
 
Ngoja tumwache Mama afanye anavyoona ni sahihi kwake, lakini ajue sisi CCM kindakindaki hatufurahii.
Samia ni Rais wa JMT siyo Rais wa CCM kindakindaki,kama hamtaki rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana
 
Bwana Idungude,
Hivi wewe una akili tumamu au ni muokota makopo jalalani?
Acha UNAFIKI NA USHAMBEGA WA KUTAKA KUMCHONGANISHA RAIS NA WATZ WENGINE AMBAO SIO WANA- CCM !!
Inaelekea wewe ndo wale Marehemu JPM mlikuwa mnamlisha matango pori na anawasikiliza!!! Hivi unajua maana ya kuiponya nchi kutokana na CHUKI AMBAYO IMEJENGEKA KATI YA CCM VS VYAMA VINGINE VYA SIASA AY WAROPOKWA TU??
 
Nationalism is a desire to protect our nation interest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…