Rais Samia kumaliza changamoto ya huduma ya maji mjini Mtwara

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
RAIS SAMIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI MJINI MTWARA

Serikali imetoa shilingi bilioni Kumi na Tisa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) ili kufumua mfumo wa usambazaji wa maji ambao ni chakavu na kuweka mpya.

Hatua hiyo itataua kero ya upatikanaji wa Maji kwa wakazi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambapo tayari Mamlaka hiyo imetiliana saini na Mkandarasi ili kuanza kutekeleza mradi huo.

Akishuhudia tukio la utiaji saini Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amemtaka mkandarasi anaekwenda kutekeleza mradi huo kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha unakamilika kwa wakati na kwa ubora, Aidha Mbunge wa Jimbo hilo ameishukuru sana Serikali na kuahidi kutoa ushirikiano juu ya ufatiliaji na usimamizi wa karibu wa Utekelezaji wa Mradi.

IMG-20220928-WA0041(1).jpg
IMG-20220928-WA0039(1).jpg
IMG-20220928-WA0038(1).jpg
 
Punguzeni uchawa,Kodi zetu si miliki ya mtu.
 
CCM ina laana👇
 
RAIS SAMIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI MJINI MTWARA

Serikali imetoa shilingi bilioni Kumi na Tisa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) ili kufumua mfumo wa usambazaji wa maji ambao ni chakavu na kuweka mpya.

Hatua hiyo itataua kero ya upatikanaji wa Maji kwa wakazi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambapo tayari Mamlaka hiyo imetiliana saini na Mkandarasi ili kuanza kutekeleza mradi huo.

Akishuhudia tukio la utiaji saini Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amemtaka mkandarasi anaekwenda kutekeleza mradi huo kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha unakamilika kwa wakati na kwa ubora, Aidha Mbunge wa Jimbo hilo ameishukuru sana Serikali na kuahidi kutoa ushirikiano juu ya ufatiliaji na usimamizi wa karibu wa Utekelezaji wa Mradi.

Safi sana Rais Samia Suluhu anaendelea kutimiza kila alichokiahidi usambazaji wa huduma ya maji umefanyika kwa asilimia kubwa Tanzania nzima, mpaka vijijini sasa wanapata huduma ya maji safi na salama
 
Mkuu huduma ya maji ni endless ndiyo maana hizo taasisi zipo na zitaendelea kuwepo, kwa ugoigoi wa hizi serikali na jamii zetu hakutakuja kutokea kamwe Hadi mwisho wa dahari kuwa huduma ya maji, umeme, mipango miji iwatangulie ongezeko la watu.

Kwamba mtu afike sehemu anataka kuanzisha Jambo lake then asianze kupembeleza hizo taasisi zinazosimamia kusambaza huduma. Msipobadilika na vijitabi zetu na kinafiki hizi.
 
Back
Top Bottom