Rais Samia kumbe anajua kuongea Kiarabu Vizuri. Nimemsikia alipokuwa Ikulu ya Tunguu Zanzibar

Rais Samia kumbe anajua kuongea Kiarabu Vizuri. Nimemsikia alipokuwa Ikulu ya Tunguu Zanzibar

Hata cjui unaandika nini 😁

Nani amewaletea historia za kusadikika?

Si nyie ndio mnapotosha dini yenu mnawadanganya vijana wajipue kuwa ahera watawakuta bikira wakiwangoja!!! Hata hii utasema hujui nimendika nini?
 
Si nyie ndio mnapotosha dini yenu mnawadanganya vijana wajipue kuwa ahera watawakuta bikira wakiwangoja!!! Hata hii utasema hujui nimendika nini?

Huna jibu la swali nililouliza.

Kuhusu kujilipua, uislamu haujaagoza kuuwa watu waco na hatia

وَلَا تَقْتُلُوا النَّفْسَ الَّتِي حَرَّمَ اللَّهُ إِلَّا بِالْحَقِّ ۗ وَمَنْ قُتِلَ مَظْلُومًا فَقَدْ جَعَلْنَا لِوَلِيِّهِ سُلْطَانًا فَلَا يُسْرِفْ فِي الْقَتْلِ ۖ إِنَّهُ كَانَ مَنْصُورًا

Wala msiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu amekataza isipo kuwa kwa haki. Na aliye uliwa kwa kudhulumiwa basi tumempa madaraka mrithi wake. Lakini asipite mpaka katika kuuwa. Kwani yeye anasaidiwa.
 
Ivi Zanzibar wana kabila na Kama wanalo wanaongeaje wapemba kila siku nawauliza apa tanga naitaji kujua lugha yao Kama wasambaa wadigo wanabaki kusema amii we sie atuna kabilaa
 
Back
Top Bottom