Wala msiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu amekataza isipo kuwa kwa haki. Na aliye uliwa kwa kudhulumiwa basi tumempa madaraka mrithi wake. Lakini asipite mpaka katika kuuwa. Kwani yeye anasaidiwa.
Ivi Zanzibar wana kabila na Kama wanalo wanaongeaje wapemba kila siku nawauliza apa tanga naitaji kujua lugha yao Kama wasambaa wadigo wanabaki kusema amii we sie atuna kabilaa