Rais Samia: Kuna mambo hayakuwa yakifanyika, lakini sasa hivi yanataka kuanza. Sitokubali!

Atafanya nini sasa wakati mambo mengi tu yameisha mshinda maneno mengi wakati mambo yako vile vile
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika miezi michache aliyokaa kwenye Serikali ya Awamu ya Sita, ameona mambo mengi ambayo huko nyuma hayakuwa yakifanyika lakini sasa hivi yanataka kuanza, akisisitiza hatokubali

Amesema hayo baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Awamu ya Tatu, kipande cha Makutupora - Tabora

Amesisitiza ubora wa vifaa vinavyonunuliwa na Reli inayojengwa kuendana na thamani ya Fedha. Vilevile ameagiza Shirika la Reli (TRC), Wizara ya Ujenzi na wengine wanaohusika kusimamia Ujenzi huo
Anaupiga mwingi.
Hatakiwi kulalamika bali kuchukua hatua
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika miezi michache aliyokaa kwenye Serikali ya Awamu ya Sita, ameona mambo mengi ambayo huko nyuma hayakuwa yakifanyika lakini sasa hivi yanataka kuanza, akisisitiza hatokubali

Amesema hayo baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Awamu ya Tatu, kipande cha Makutupora - Tabora

Amesisitiza ubora wa vifaa vinavyonunuliwa na Reli inayojengwa kuendana na thamani ya Fedha. Vilevile ameagiza Shirika la Reli (TRC), Wizara ya Ujenzi na wengine wanaohusika kusimamia Ujenzi huo
Ngoja tu nicheke...
 
kwanini majaliwa asiwe moto ili kubalans jamani.

kama rais hana haiba ya ukali tusimlazimishe,basi ampe jeuri waziri mkuu ili amsaidie kudili na waharibifu..

Mimi nahisi tatzo ni utashi wake..naamini majaliwa akipewa rungu atawapukutisha mchwa wanaohujumu kazi yake..

Huku kupoapoa kwa majaliwa na wenzake kunaweza kuwa na sababu..

Haiwezekani Rais, makamu, waziri mkuu wote wakawa toothless.

yaani mawaziri mwenye kujiamini na mwenye kauli ni mwigulu na ummy tu! Wengne baki ni majongoo.
 
Mwacheni aendeshe nchi kimama mama wale wa kubunya wanainjoy tu hamna kufukuzwa home unacheza na buyu la asali tu daily😅
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika miezi michache aliyokaa kwenye Serikali ya Awamu ya Sita, ameona mambo mengi ambayo huko nyuma hayakuwa yakifanyika lakini sasa hivi yanataka kuanza, akisisitiza hatokubali

Amesema hayo baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Awamu ya Tatu, kipande cha Makutupora - Tabora

Amesisitiza ubora wa vifaa vinavyonunuliwa na Reli inayojengwa kuendana na thamani ya Fedha. Vilevile ameagiza Shirika la Reli (TRC), Wizara ya Ujenzi na wengine wanaohusika kusimamia Ujenzi huo
Ni wale waliokuwa wanataka commutative tendering eti ili thamani ya pesa ionekane. Hapo alikuwa anawasema PPRA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia msumari ukuingie mwizi wa mali za chama... nyie shwaini mkibinywa nyuma kutema mali za chama mnapiga yowe huku serikalini mnataka yasiwe maneno matupu?

Shuwaini nyie.
[emoji38][emoji38][emoji38] punguza panic bro
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika miezi michache aliyokaa kwenye Serikali ya Awamu ya Sita, ameona mambo mengi ambayo huko nyuma hayakuwa yakifanyika lakini sasa hivi yanataka kuanza, akisisitiza hatokubali

Amesema hayo baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Awamu ya Tatu, kipande cha Makutupora - Tabora

Amesisitiza ubora wa vifaa vinavyonunuliwa na Reli inayojengwa kuendana na thamani ya Fedha. Vilevile ameagiza Shirika la Reli (TRC), Wizara ya Ujenzi na wengine wanaohusika kusimamia Ujenzi huo
Mzee mwenyewe alikuwa halegezi macho
 
Back
Top Bottom