Rais Samia: Kuna mambo hayakuwa yakifanyika, lakini sasa hivi yanataka kuanza. Sitokubali!


Rais SSH, acha maneno, fanya vitendo. Ukitaka upendwe na wote, uaminike tembea na mkasi, mtu akivurunda kata, akiiba kata, ufisadi kata. Hata kama ni ndugu yako, swahiba wako, mshikaji.

Anza na huyu mla rushwa katibu mwenezi, shoga Shaka.

Imani kwako itarudi, weka mikataba ya bandarini, mikataba yote wazi.

Hakikisha umeme maji, yapo 24/7 mwaka mzima. Mbolea, mafuta, pembejeo bei rafiki.

Kodi rafiki, mazingira mazuri ya kufanya biashara kwa wote.

Utapendwa, utakubalika sana. Usikubali kuongozwa na genge la mafisadi.
 
Alidhani akimkamata Mbowe ndo hatosemwa? Sasa anasemwa toka ndani ya nyumba yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…