Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Hakuna ukweli wowote hapo,mfumo wa kiutendaji Serikalini umejengwa kwa mtindo kuwa Rais ndio final say-kitu ambacho ndio kinaleta matatizo,hakuna ugatuzi wa madaraka kabisa.Kuna ka-ukweli fulani hivi mkuu, ila tabia za watu ni dynamic, mtu mwenye tabia njema leo anaweza aka pick tabia mbaya kesho, honest person today can be a thief and hooligan tomorrow. So lets give mama yetu wa taifa a break