Rais Samia: Kuna mambo Samia hahusiki

Rais Samia: Kuna mambo Samia hahusiki

Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.

Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.

Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia
Ayatimbe yeye halafu wananchi tuitwe kuwa nasi tupo kwenye taasisi ya urais? Lakini akiwa na yake hasemi wananchi tuamue kwa pamoja kama wadau wa taasisi ya urais??? Hii hapana aisee.
 
Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.

Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.

Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia
Urais sio taasisi bali rais ndiye taasisi, anawajibika kwa lolote katika taasisi yake
 
Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.

Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.

Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia
Mazuri tu atajwe yeye yakiwa mabaya hataki atajwe. Maana kila sifa hadi ya mvua kunyesha anatajwa sasa kwanini na sifa mbaya asitajwe?
 
Hata kama hajawatuma, kashindwa kuchuja watu sahihi kuchukua nafasi za uongozi, haoni hilo kama muhimu.

We mtu anamrudisha Makonda katika uongozi, mtu mwenye tuhuma nyingi sana chafu, unafikiri anajali habari za kuchuja wateule wake?
Kila mtu ana equal chance lakini hapo kwa Makonda,....mmmm....bull!
 
Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.

Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa Ulaya, ambapo suala kama hilo Samia hahusiki ila taasisi ya Urais inahusika ikiwa ni pamoja na wananchi.

Hivyo amesema uandishi wa aina hiyo unaharibu nchi sio kumuharibia Samia

Imbombo ngafu
 
Hapo ni moja kwa moja kwamba kuna dhoruba kubwa imeshaandaliwa na Waandishi wanaonywa kama watayaandika hayo basi wajue atakayeumia siyo yeye nali mchi yao wenyewe au watakaoharibikiwa ni wananchi.
 
Aisee, poleni sana watanzania wenzangu.

Captain is the in-charge of all operations and management of the ship at sea.
 
Back
Top Bottom