Rais Samia: Kuna mambo Samia hahusiki

Kuna ka-ukweli fulani hivi mkuu, ila tabia za watu ni dynamic, mtu mwenye tabia njema leo anaweza aka pick tabia mbaya kesho, honest person today can be a thief and hooligan tomorrow. So lets give mama yetu wa taifa a break
Hakuna ukweli wowote hapo,mfumo wa kiutendaji Serikalini umejengwa kwa mtindo kuwa Rais ndio final say-kitu ambacho ndio kinaleta matatizo,hakuna ugatuzi wa madaraka kabisa.
 
Mama rais wetu yuko sahihi kabisa.
 
Hakuna ukweli wowote hapo,mfumo wa kiutendaji Serikalini umejengwa kwa mtindo kuwa Rais ndio final say-kitu ambacho ndio kinaleta matatizo,hakuna ugatuzi wa madaraka kabisa.
Kwamba Raisi ndiyo anayepitisha masurufu ya watumishi? au anayeajiri watumisho wa-umma. Unaongea kauli za kijumla sana ambazo hazina mshiko.
Kweli Raisi anayo mamlaka makubwa ya kuteua lakini hafanyi kazi zote yeye kama yeye
 
Kuna ka-ukweli fulani hivi mkuu, ila tabia za watu ni dynamic, mtu mwenye tabia njema leo anaweza aka pick tabia mbaya kesho, honest person today can be a thief and hooligan tomorrow. So lets give mama yetu wa taifa a break
Vipi Albert Msando ambaye alionekana kwenye video akimtia virile Gigy Money lakini Samia akamteua kuwa mkuu wa wilaya!

Hapo niaje?
 
Ukiomba kuwa Makamu wa Rais Tanzania maana yake umeomba kuwa rais dakika yoyote rais akifariki.

Kama aliona hawezi kuwa rais asingekubali kuwa Makamu wa Rais.
 
Vipi Albert Msando ambaye alionekana kwenye video akimtia virile Gigy Money lakini Samia akamteua kuwa mkuu wa wilaya!

Hapo niaje?
Hapo kweli vyombo vinavyosaidia uteuzi viliteleza au labda maadili yetu yamebadilika kwa maana nyingine yameboreka unless angepiga mashine hadharani ndiyo angekua amevunja maadili
 
mama Samia kuna kitu kinaitwa VICARIOUS LIABILITY.
 
Ukiomba kuwa Makamu wa Rais Tanzania maana yake umeomba kuwa rais dakika yoyote rais akifariki.

Kama aliona hawezi kuwa rais asingekubali kuwa Makamu wa Rais.
Tuendelee kumpa moyo, ajikaze kikike ili atuongoze vizuri
 
We mtu anamrudisha Makonda katika uongozi, mtu mwenye tuhuma nyingi sana chafu, unafikiri anajali habari za kuchuja wateule wake?
Kiranga,

Ni kheri ingekuwa tuhuma zisizo na ushahidi. Kuingia na walinzi walio na silaha ndani ya kituo cha habari, kuanza kupiga na kuchukua watu kwa nguvu pasi na utaratibu wa sheria. Kwa nchi zenye kujua kufuata sheria ile ilikuwa ni kosa kubwa.

Lakini ikafunikwa likafa kimya kimya. Kuna namna ninaamini katiba mpya itakayotoa nafasi kwa kila muhimili wa serikali kufanya kazi na kuwa na nguvu isiyozidi mwenzake inaweza kuwa suluhisho.

Namkumbuka sheikh yahya alisema awamu ya tano raisi ataongoza kwa kipindi kifupi baadae nchi itashikwa na mwanamama na uchaguzi utakaofata nchi itaenda upinzani😃.

Kwa kiasi kikubwa Mama si mtu anayeweza kufuatilia. Na labda ni sababu ya siri anazozijua za raisi magufuli au ni mtu ambaye hakutegemea kuwa katika hiyo nafasi anapitiia kipindi cha mpito labda tumpe muda.😀
 
Huyu mama na Makonda inawezekana wana lao jambo, si bure.
 
Kwa maana hiyo tulimweka MAKAMU asiye sahihi?... Kwasababu hiyo CONSTITUTION unayoiongelea inasema MAKAMU anaweza kuwa RAIS KAMILI muda wowote wakiwa kwenye KIPINDI CHA UONGOZI WAO endapo lolote likitokea.
Na kama hakuwa sahihi kwenye UMAKAMU in maana hata hapo alipo si SAHIHI KWAKE, kwahiyo UNAKUBALIANA na wanaosema hafai ???
 
Aliyemchagua huyo mama kuwa makamu wake sasa hivi yuko kaburini akipokea adhabu zake.

Shida kuu hakutuambia his selection criteria
 
Kwenye IGA ya DP world na sirikali, Kuna sahihi Yako mle,

Hilo linakuhusu kabisa.
 
Hata kama hajawatuma, kashindwa kuchuja watu sahihi kuchukua nafasi za uongozi, haoni hilo kama muhimu.

We mtu anamrudisha Makonda katika uongozi, mtu mwenye tuhuma nyingi sana chafu, unafikiri anajali habari za kuchuja wateule wake?
Ni kweli kabisa, The buck stops with her. No ifs no buts. Wakuu wa mikoa na wilaya hawajaanza na Samia, wamekuwepo miaka mingi... kwa nini lawama nyingi zimeanza miaka ya karibuni? Kuna shida sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…