Rais Samia: Kuna mambo Samia hahusiki

Ayatimbe yeye halafu wananchi tuitwe kuwa nasi tupo kwenye taasisi ya urais? Lakini akiwa na yake hasemi wananchi tuamue kwa pamoja kama wadau wa taasisi ya urais??? Hii hapana aisee.
 
Urais sio taasisi bali rais ndiye taasisi, anawajibika kwa lolote katika taasisi yake
 
Mazuri tu atajwe yeye yakiwa mabaya hataki atajwe. Maana kila sifa hadi ya mvua kunyesha anatajwa sasa kwanini na sifa mbaya asitajwe?
 
Hata kama hajawatuma, kashindwa kuchuja watu sahihi kuchukua nafasi za uongozi, haoni hilo kama muhimu.

We mtu anamrudisha Makonda katika uongozi, mtu mwenye tuhuma nyingi sana chafu, unafikiri anajali habari za kuchuja wateule wake?
Kila mtu ana equal chance lakini hapo kwa Makonda,....mmmm....bull!
 

Imbombo ngafu
 
Hapo ni moja kwa moja kwamba kuna dhoruba kubwa imeshaandaliwa na Waandishi wanaonywa kama watayaandika hayo basi wajue atakayeumia siyo yeye nali mchi yao wenyewe au watakaoharibikiwa ni wananchi.
 
Aisee, poleni sana watanzania wenzangu.

Captain is the in-charge of all operations and management of the ship at sea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…