Rais Samia kuna mambo yapo kwenye uwezo wako ila umeyafumbia macho

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
2,165
Reaction score
5,645
Jambo Jambo?

Mtautesa umma wa Watanzania, Mafisadi yatendelea kuiba, mtawafutia Bima za afya za bei rahisi.

Mtaweka tozo kila sehemu na hela za tozo zitaibwa na mafisadi na walamba asali. Ripoti za CAG hazitafanyiwa kazi.

Tukiuliza tutaambiwa tunapinga, tunatishia amani na vingine. Mtaiiba kura, na kukandamiza wapinzani, mtawafunga na kufanya kila aina ya fujo juu yao.Mtanunua Magari mtajilipa posho kubwa kubwa ambazo hazina kodi.

Raisi Dkt. Samia upo na baadhi ya mambo yapo kweny uwezo wako ila umeyafumbia macho.

NATAKA NIWAAMBIE WANA CCM KUWA;

Tanzania ipo kwenye Giza kubwa sana ila mwisho niwaache na msemo huu. “Haijalishi usiku ni mrefu kiasi gani haijalishi usiku unatisha kiasi gani lazima, Ni lazima JUA litachomoza tu na kuiangaza nuru yake””

Saa na wakati utafika, Na NURU itatanda juu ya watanzania na nchi itaponywa.
Yaweza kuwa kesho, leo mwakani au hata kitambo kidgo ila ITATIMIE NA MTATOKA TU.

OGOPA MTU ANAYEKULA NA KIPOFU MPAKA KIPOFU AKASTUKA NI HATARI!

IMG_5632.jpg

Nshomile
Kagera,Tanzania
 
Jambo Jambo?

Mta utesa umma wa watanzania, Mafisadi yatendelea kuiba,mtawafutia Bima za afya za bei rahisi.

Mtaweka tozo kila sehemu na hela za tozo zitaibwa na mafisadi na walamba asali. Ripoti za CAG hazitafanyiwa kazi.

Tukiuliza tutaambiwa tunapinga, tunatishia amani na vingine.

Mtaiiba kura, na kukandamiza wapinzani, mtawafunga na kufanya kila aina ya fujo juu yao.Mtanunua Magari mtajilipa posho kubwa kubwa ambazo hazina kodi.

Raisi Dkt.Samia upo na baadhi ya mambo yapo kweny uwezo wako ila umeyafumbia macho.

NATAKA NIWAAMBIE WANA CCM KUWA;

Tanzania ipo kwenye Giza kubwa sana ila mwisho niwaache na msemo huu.

“”Haijalishi usiku ni mrefu kiasi gani haijalishi usiku unatisha kiasi gani lazima, Ni lazima JUA litachomoza tu na kuiangaza nuru yake””

Saa na wakati utafika, Na NURU itatanda juu ya watanzania na nchi itaponywa.
Yaweza kuwa kesho, leo mwakani au hata kitambo kidgo ila ITATIMIE NA MTATOKA TU.

OGOPA MTU ANAYEKULA NA KIPOFU MPAKA KIPOFU AKASTUKA NI HATARI!!!

View attachment 2603540

Nshomile

Kagera,Tanzania
Nshomile unatishiwa na mikonga hiyo🤔
 
Duh 🙄!
 
Aamina [emoji2972]
Mwenye Enzi Mungu yu hai ni kweli iko siku!
 
Back
Top Bottom