peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Inafahamika mipango yenyewe ndiyo hii👇Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Mtu aliyepata zero form four, kajiendeleza na vicertificate na diploma za kuunga unga, baadaye degree za kuunga unga, huwezi mlinganisha na mtu aliyemaliza form six aliyepata three or four baadaye wakakutana Chuo uwezo wao wa kufikili na kudadavua mambo huwa tofauti kabisa. Mfano Nape, makamba hawa wote walizungusha form four au wakapata four za karibu na zero unaona uwezo wao ulivyo, Madilu (Mwigulu) huyu karudia karibu mara tano ndo kaenda uko usukumani kapata jina la mtoto wa kisukuma aliyeacha shule na kupewa hilo jina la Mwigulu Chemba ( haya majina ni ya kisukuma pure) na Mwigulu ni mnyiramba wa hapo Kijiji karibu na Misigiri. Unaona uwezo wake pamoja na kununua hizo PhD hapo UDSM.Ni mipango mizuri au mibaya?????
Ok anathibitisha kuwa Serikali ina mipango tena ya hovyo. Unanunuaje magari ya bei mbaya tena ya kifahari mahali pasipo na barabara zinazopitika majira yote ya mwaka? 😳 😳 🤔Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Anaupiga mwigiRais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Uwewe ❌UWewe siyejijuwa, nani alikudanganya "nchi hii" ni masikini?
Kama Masikini ni wewe ambae unakula data unaingia mitandao ya kijamii kuandika pumba, sijuwi hao matajiri wakoje.
Akili za takataka ndio unazoRais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Huyu ukigusa ndugu zake anasahau kiswahili na anachanganyikiwa. Msamehe bure ashazeekaUwewe ❌
Wewe✔️
Usiyejijuwa❌
Usiyejitambua✔️
Sijuwi ❌
Sijui ✔️
Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga?
Hotuba hazimfanyi rais akaonekana anatosha kuwa ikulu. Wapo wenye uwezo wa kuweka data majukwaani lakini hawana uwezo wa kufufua mahusiano ya kimataifa kati ya TZ na nchi zilizoendelea,Dah tusimlaumu mama ni Katiba ilio muweka pale.Lakini bado hatoshei kiuwezo.
Tulizoea hotuba iliyo jaa takwimu mbalimbali lakini hotuba kama nyeupe haina hata mvuto.
Punguza utumwa wa elimu. Kuongoza nchi ukiwa ni profesa ni kitu kimoja kuweza kufanya kazi inayoonekana kimataifa ni suala jingine.Mtu aliyepata zero form four, kajiendeleza na vicertificate na diploma za kuunga unga, baadaye degree za kuunga unga, huwezi mlinganisha na mtu aliyemaliza form six aliyepata three or four baadaye wakakutana Chuo uwezo wao wa kufikili na kudadavua mambo huwa tofauti kabisa. Mfano Nape, makamba hawa wote walizungusha form four au wakapata four za karibu na zero unaona uwezo wao ulivyo, Madilu (Mwigulu) huyu karudia karibu mara tano ndo kaenda uko usukumani kapata jina la mtoto wa kisukuma aliyeacha shule na kupewa hilo jina la Mwigulu Chemba ( haya majina ni ya kisukuma pure) na Mwigulu ni mnyiramba wa hapo Kijiji karibu na Misigiri. Unaona uwezo wake pamoja na kununua hizo PhD hapo UDSM.
Na kwa kauli hii walaumiwe wazhauri wake?Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Duuh kauli imejaa dharau, kiburi na ulevi wa madaraka!Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Si ameshagundua ni weupe ndiyo maana anasema hivyo. Ni mpango wa muda mrefu wakati bado watoto shule ya Ikuti- Iyunga Mbeya watoto wanafanyia mitihani ya majaribio nje juani. Madarasa hayatoshi viti havitoshiRais wangu Sammie, katika kuelezea hoja, mmh! Ni mweupe haswaa!