Pre GE2025 Rais Samia: Kuna watu wanapita huku na huko na kusema Serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake

Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema

Source: EATV

Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Inafahamika mipango yenyewe ndiyo hii👇

Ni mipango mizuri au mibaya?????
Mtu aliyepata zero form four, kajiendeleza na vicertificate na diploma za kuunga unga, baadaye degree za kuunga unga, huwezi mlinganisha na mtu aliyemaliza form six aliyepata three or four baadaye wakakutana Chuo uwezo wao wa kufikili na kudadavua mambo huwa tofauti kabisa. Mfano Nape, makamba hawa wote walizungusha form four au wakapata four za karibu na zero unaona uwezo wao ulivyo, Madilu (Mwigulu) huyu karudia karibu mara tano ndo kaenda uko usukumani kapata jina la mtoto wa kisukuma aliyeacha shule na kupewa hilo jina la Mwigulu Chemba ( haya majina ni ya kisukuma pure) na Mwigulu ni mnyiramba wa hapo Kijiji karibu na Misigiri. Unaona uwezo wake pamoja na kununua hizo PhD hapo UDSM.
 
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake

Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema

Source: EATV

Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Ok anathibitisha kuwa Serikali ina mipango tena ya hovyo. Unanunuaje magari ya bei mbaya tena ya kifahari mahali pasipo na barabara zinazopitika majira yote ya mwaka? 😳 😳 🤔
 
mama yuko sahihi kabisa

hii nchi inakwenda kwa mipango na ni makini sana
 
Wapange na kulisafisha jiji maana taka tu zimetushinda
Je vyoo viwili double 8 ni mipango pia?
 
UWewe siyejijuwa, nani alikudanganya "nchi hii" ni masikini?

Kama Masikini ni wewe ambae unakula data unaingia mitandao ya kijamii kuandika pumba, sijuwi hao matajiri wakoje.
Uwewe ❌

Wewe✔️

Usiyejijuwa❌

Usiyejitambua✔️

Sijuwi ❌

Sijui ✔️

Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga?
 
Kwa waliowahi kula ada watamuelewa mama.
 
Dah tusimlaumu mama ni Katiba ilio muweka pale.Lakini bado hatoshei kiuwezo.

Tulizoea hotuba iliyo jaa takwimu mbalimbali lakini hotuba kama nyeupe haina hata mvuto.
Hotuba hazimfanyi rais akaonekana anatosha kuwa ikulu. Wapo wenye uwezo wa kuweka data majukwaani lakini hawana uwezo wa kufufua mahusiano ya kimataifa kati ya TZ na nchi zilizoendelea,
 
Mtu aliyepata zero form four, kajiendeleza na vicertificate na diploma za kuunga unga, baadaye degree za kuunga unga, huwezi mlinganisha na mtu aliyemaliza form six aliyepata three or four baadaye wakakutana Chuo uwezo wao wa kufikili na kudadavua mambo huwa tofauti kabisa. Mfano Nape, makamba hawa wote walizungusha form four au wakapata four za karibu na zero unaona uwezo wao ulivyo, Madilu (Mwigulu) huyu karudia karibu mara tano ndo kaenda uko usukumani kapata jina la mtoto wa kisukuma aliyeacha shule na kupewa hilo jina la Mwigulu Chemba ( haya majina ni ya kisukuma pure) na Mwigulu ni mnyiramba wa hapo Kijiji karibu na Misigiri. Unaona uwezo wake pamoja na kununua hizo PhD hapo UDSM.
Punguza utumwa wa elimu. Kuongoza nchi ukiwa ni profesa ni kitu kimoja kuweza kufanya kazi inayoonekana kimataifa ni suala jingine.

Wapo wasomi wengi tu maofisini hawana tija yoyote yenye kuonekana kwa taifa na kwa taasisi wanazofanyia kazi.
 
Huyu bibi bora awe anafunga huo mdomo
 
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake

Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema

Source: EATV

Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Duuh kauli imejaa dharau, kiburi na ulevi wa madaraka!
 
..gari la kinyesi walilonunua gharama yake ni sawa na matrekta mangapi?
 
Rais wangu Sammie, katika kuelezea hoja, mmh! Ni mweupe haswaa!
Si ameshagundua ni weupe ndiyo maana anasema hivyo. Ni mpango wa muda mrefu wakati bado watoto shule ya Ikuti- Iyunga Mbeya watoto wanafanyia mitihani ya majaribio nje juani. Madarasa hayatoshi viti havitoshi
 
Back
Top Bottom